Kutokujua kusoma, kuandika vyakwaza upigaji kura

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,458
3,209
Wakati wa matukio kama ya ucgaguzi na sensa ndia hali halisi ya kutojua kusoma na kuandika inapojitokeza hadharani. Msimamizi wa kituo cha Zahanati huko Arumeru alisema "Kwa kweli suala la kusoma na kuadika ni tatizo kubwa kwani vijana, wazee kwa ufupi wanakuja hapa hawajui kusoma na kuandika ivyo sisi tunawasaidia kwanza kwa kuwaambia kama kuna mtu anayemwamini aje nae na kama hana inabidi tutafute njia mbadala".
Ikiwa kusoma na kuandika ni tatizo, je mtu ataweza kuelewa uhalisia wa ilani?
 
Back
Top Bottom