Nini mchango wa Watanzania waishio ughaibuni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini mchango wa Watanzania waishio ughaibuni?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by omujubi, Mar 29, 2012.

 1. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Heshima mbele wakuu.

  Nimesoma hapo na kuona Waganda wanadai kuwa Utalii ni namba moja katika kuchangia pato la taifa ukifuatia watu wa Diaspora. Kwa Kenya naona wanataka hawa jamaa wapige kura na wawe hata na mfumo wa uwakilishwaji wa mawazo yao katika kuendesha (utatuaji wa matatizo) nchi.

  Nimeshangaa sana kusema kweli maana sikujua kama hii ‘industry' ina potential kubwa kiasi hicho kulinganisha na idadi ya wakazi wan chi hiyo.

  My take:
  Mwenye data/information ni kiasi gani Tanzania inapata kulingana na hawa wenzetu waishio ughaibuni naomba atuwekee.
   
 2. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,372
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  Heshima Mbele Mkuu
  Kwanza inabidi utambue kuwa aslimia 95 ya Watanzania walio nje wakoje
  - Ni walioenda kama wanafunzi, wakapiliza muda wao wa kukaa hivyo hawana valid visa na ufanya mambo yao chini kwa chini (Wanaishi kama kadigidigi)
  - Kundi lingine kubwa la Watanzania walionje walienda kama Wakimbizi (miaka ya 1995 - 2000). Hawa wengi wao wameshapata uraia wa nchi wanazoishi na hawana tena uraia wa Tanzania.
  - Kundi lingine ni la watoto wa vigogo ambao wengi wako kwenye kundi la kwanza lakini vile vile they dont care much about Tanzania kwani wazazi wao wako kwenye system
  - Watanzania we waambie Ngono hapo umewafikisha
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ndio hawa wakija wanagombea ubunge wa Africa Mashariki, wakati hawajui hata wananchi hawa wa EA wanataka nini kama hitaji lao la kwanza!
   
 4. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ndio mkuu, nilikuwa hapo awali nikisikia juu ya nchi za Philippines na India kuwa wanawafaidika financially na hata importation ya technology till recent niliposikia kiasi cha Kenya na Uganda ndio nikashtuka, nadhani katika makosa makubwa tuliyoyafanya hili linaweza kuwa mojawapo!

   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  [h=1]Remittances to developing countries to grow[/h]Diaspora remittances to developing countries, including Kenya, are expected to rise by 7.3 per cent in the year 2012 after posting an 8 per cent surge last year. According to the latest migration and development brief by the World Bank, remittances to developing economies will remain on the growth path for the next two years providing the much needed funds for the most developing economies to lift their dented balance of payments. "In line with the World Bank's latest outlook for the global economy, remittance flows to developing countries are expected to grow by 7.3 per cent in 2012, 7.9 per cent in 2013 and 8.4 per cent in 2014.

  source: https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/241318-nini-mchango-wa-watanzania-waishio-ughaibuni.html
   
 6. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  wee hufanyi.??
   
Loading...