We are living by choices not by chance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We are living by choices not by chance

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by davis lewis, Apr 2, 2012.

 1. d

  davis lewis New Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama watanzania na wana wa nchi hii hatuwezi kuendelea tena kuwa watazamaji!lazima tufanye maamuzi tusipofanya maamuzi sahihi,tutafanyiwa maamuzi ya hovyo na hapo ndipo itakuwa kilio na kusaga meno kwetu sisi na vizazi vyetu.sasa yatosha kudanganywa na utawala huu wa ccm uliojaa hila na kila mbinu chafu.

  Ni wazi ni dhahiri kabisa hatuna viongozi bali ni watawala waliongia madarakani kwa mbinu chafu ili kusuka mipango na mikakati ya kutengeneza deal za ulaji na kujitajirisha kwa njia haramu huku wana wa nchi wakitaabika katika lindi kubwa la umaskini na ufukara.

  Yatosha mtanzania sema basi kwa manyang'au hawa wanaotumaliza usiku na mchana kwakupora rasilimali zetu, changes are permanent but condition is not permanent. Lets change for or better future,our best tanzania.
   
Loading...