Damu ya makamanda na ukombozi wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Damu ya makamanda na ukombozi wa Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mifumo, Apr 2, 2012.

 1. M

  Mifumo Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Peopleeeees!namn kuwa umeitikia vyema,wana chadema wote kwanza tumshukuru mungu kwa ku2pigania na kuiondoa ccm arumeru,licha ya ushindi huu mzito ninaomba tucjisahau elimu ya uraia iendelee kutolewa nch nzma kijiji kwa kijiji mtaa kwa mtaa na nyumba kwa nyumba,2kiwa kwenye shangwe hz makamanda we2 wamepata matatzo damu yao haikumwagika kwa ajili ya familia zao lkn kwa ajil yako mnyonge wa nch hii ninaamin damu hii italeta majibu kwa taifa hil,wanachadema wote bila kujal dini wala itkad zetu 2waombee makamanda we2 ili wapone haraka na kurud kwenye harakat za kulipigania taifa letu.
  MUNGU IBARIKI CHADEMA
   
 2. BJEVI

  BJEVI JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,360
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  DAMU ikimwagika ni dhahiri kuna agano mahali hapo ,,,,hii damu itawarudia waliohusika tena sana ...ccm kuweni macho.
   
 3. obm

  obm Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Na mungu hamfichi mnafiki, kwa sana wanasema wanatania, huwezi kutania kwenye jambo nyeti, damu ndio inaanza kuwarudia watesema kuwa urafiki sio wa njiani mwishowe watasema walichokifanya usiwe wa njiani. Duniani hamna siri ya watu wawili, katu. also remember five rules of making a deal, they are now breaking rule no 5, dont smile when we are in a deal.
   
Loading...