Tafiti nyingine zinapotosha ukweli-kama ule wa gazeti la rai na uchaguzi wa Arumeru mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafiti nyingine zinapotosha ukweli-kama ule wa gazeti la rai na uchaguzi wa Arumeru mashariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tukunyala, Apr 2, 2012.

 1. t

  tukunyala New Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gazeti la RAI lilichapisha utafiti ambao ulileta mashaka kwa wengi na kupotosha kwa kiasi kikubwa kuhusu atakayeshinda uchaguzi wa arumeru mashariki.Tunawaomba mara baada ya uchaguzi kufanyika na mshindi aliyetangazwa kujulikana,ambaye ni tofauti na matokeo ya utafiti wao sasa wajitokeze na kuwaomba radhi wasomaji wa gazeti lao.Vinginevyo wamepoteza imani ya wengi wa wasomaji wa gazeti hili ambao hawapendi kuona gazeti la uchambuzi kama hili linapoteza mwelekeo na kutoa habari ambazo hazijengi kukuza demokrasia nchini.
   
 2. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wewe bado unamchangia fisadi pesa kwa kununua magazeti yake! Usilalamike uliingia choo cha kike ndugu toka huko.
   
 3. m

  maramojatu Senior Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 145
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Redet type
   
 4. mwandiga

  mwandiga JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 1,447
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Kwani gazeti ni la nani? Ni lazima liandike hivyo la sivyo mwandishi atafukuzwa kazi
   
Loading...