Kuadimika kwa magazeti ya MWANANCHI kwenye stand za magazeti na mgomo wa maajenti wa magazeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuadimika kwa magazeti ya MWANANCHI kwenye stand za magazeti na mgomo wa maajenti wa magazeti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sosoliso, Apr 2, 2012.

 1. sosoliso

  sosoliso JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 7,519
  Likes Received: 1,857
  Trophy Points: 280
  Kama mme-note wakuu kumetokea tatizo la kukosekana kwa magazeti ya MWANANCHI kwa wauzaji wa kawaida mitaani.. Nimeulizia nikaambiwa kuna mgomo toka kwa baadhi ya maajenti wa gazeti hilo.. Mpaka niandikapo post hii cjaweza kulisoma gazeti hilo kwa kuwa maeneo yote ya posta ya zamani hapa hayapo.. Bahati nzuri habari za muhimu nimesoma kupitia kwenye tovuti yao.. Mwenye habari kamili naomba atujuze hapa..
   
 2. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Mbona mie ofcn kwangu limekuja
   
Loading...