chama cha democrasia na maandamano(chadema)!!-RPC Arusha.

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
hivi ni kweli kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha bwana tobiasi andengenyi hajui kirefu cha chadema!nimemsikia akihojiwa na east africa Radio,juu ya zoezi zima la upigaji kura linaloendelea huko arumeru,anasema zoezi linakwenda vizuri,ila kuna helkopta ya chama cha demokrasia na maandamano!ndio ilikuwa inazunguka angani,hivyo wametoa amri kuwa isiendelee kufanya hivyo kwani inawashitua wapiga kura! Inawafanya wazani kuwa bado kampeni zinaendelea!eti na chama kitakacho shinda wawape taarifa mahali watakapoelekea kushangilia ushindi wao,ili wapewe ulinzi wasijefanyiwa fujo!
 
hata mimi nilimsikia ila akashtuka mapema na kurekebisha. jina lake linaruhusu.
 
Huwezi kusema jambo ambalo halimo moyoni mwako, moyo wake umejaa sumu na siasa za kashfa za ki-ccm.
Nimemsikia wakati anahojiwa na Radio 1, sikushangaa maana mabosi wengi serikalini wamejaa upuuzi wa ccm kwa matarajio ya siku moja kugombea nafasi ya kisiasa kupitia ccm
 
huyo ni mjinga mbona hasahau jina la mahawara zake la cdm ndio anajifanya amesahau shwain
 
kwanza ni kosa kwa mtu mwenye wadhifa kama wake kutamka hivyo hadharani na kurushwa hewani..anastahili kushtakiwa kwa nini akashfu jina halali la chama tena wakati upigaji kura unaendelea? si umaalun huu
 
Kalewa madaraka huyo,
 
Andeng'enye siyo peke yako mwenye haya madharau ila iko siku yatakwisha na siku yenyewe imekaribia
 
Tokea Lini kura zinalindwa kwa Helikopta????? Hakuna Wasimamizi ktk Vyumba vyao
 
Chama cha demo na maandamano haha du! Hatari lakin salamu, oops i mean salama.
 
Mimi sishangai kauli kama hiyo, ni juzi tu!aliyekuwa mkuu wa kituo cha polisi Buguruni alikana kukamatwa kwa Makongoro
Mahanga kukamatwa na maboksi ya kura cha ajabu alipo banwa na wakili Kibatala akakiri kupata taarifa lakini hakuzifanyia kazi na akakubali kuwa baada ya miezi 6kupanda cheo. hivyo tutarajie huyo kamanda kupanda cheo baada ya uchaguzi kama mwenzie.

Mimi sishangai kauli kama hiyo, ni juzi tu!aliyekuwa mkuu wa kituo cha polisi Buguruni alikana kukamatwa kwa Mimi sishangai kauli kama hiyo, ni juzi tu!aliyekuwa mkuu wa kituo cha polisi Buguruni alikana kukamatwa kwa
 
hilo jina ni andengenyi au andengenya? kwetu kule soga andengenyi maana yake ni nyoka mwenye vichwa viwili, na andengenya maana yakd ni mwanaume anayechezewa mchezo mbaya na wenzake, cjajua jina lake lipi kati ya hayo?
 
hivi ni kweli kuwa kamanda wa polisi mkoa wa Arusha bwana tobiasi andengenyi hajui kirefu cha chadema!nimemsikia akihojiwa na east africa Radio,juu ya zoezi zima la upigaji kura linaloendelea huko arumeru,anasema zoezi linakwenda vizuri,ila kuna helkopta ya chama cha demokrasia na maandamano!ndio ilikuwa inazunguka angani,hivyo wametoa amri kuwa isiendelee kufanya hivyo kwani inawashitua wapiga kura! Inawafanya wazani kuwa bado kampeni zinaendelea!eti na chama kitakacho shinda wawape taarifa mahali watakapoelekea kushangilia ushindi wao,ili wapewe ulinzi wasijefanyiwa fujo!

mkuu hapo kwenye RED nadhani ndio wasi wasi wake mkubwa siku zote anaijua nguvu ya umma, masikini kamanda wa polisi
 
Back
Top Bottom