Angalie vipi waindaji hawa wanavyowinda wanyama kikatili.

Serikali hii ingekuwa inashaulika ingeacha maramoja kuruhusu uwindaji(professional hunting) hasa kwa wanyama kama simba na chui. Mimi nimejionea hunting block watu wanavyoua wanyama na askari wetu kule wanaweka sahihi kwa kupewa tip za dola 100
 
Unataka wawindeje?, wakamate kama wanakamata kuku?.
 
Back
Top Bottom