Serikali yatoa msaada wa bajaji kwa mlemavu morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yatoa msaada wa bajaji kwa mlemavu morogoro

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sexologist, Apr 1, 2012.

 1. sexologist

  sexologist JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 2,296
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 135
  sijaona mantiki ya habari hii kutoka TBC leo mchana.. Akitoa msaada huo wenye thamani ya zaidi ya milioni 5 kwa niaba ya serikali, Naibu mkuu wa mkoa wa moro Mwantumu Mahiza amesema ni mpango wa serikali kusaidia makundi maalum ya kijamii..
  swali langu huyu mlemavu amesaidiwa bajaji na serikali kwa kutumia kigezo gani.. ni walemavu wangapi wanaoililia serikali na haiwasikii.. na je serikali kama inavitambua vyama halali vya walemavu ni kwanini wasiende kutoa misaada huko.. au wats so special with this one.. na kinachonikera zaidi ni habari ndogo kama hii kupamba headline na kutangazwa na televisheni ya taifa.. hivi waandishi wa tbc wamekosa habari nchi nzima ambazo ni sensitivu na kuona hii ndo zaid.. shem on them
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Serikali inayoendeshwa kwa kodi za wananchi haiwezi/haitakiwi kutoa MISAADA kwa wananchi wake, Inapaswa kutoa HUDUMA. Baiskeli kwa mlemavu sio msaada ni wajibu wa serikali. Waache kudanganya watu.
   
Loading...