Maskini mwandosya mungu ampe nguvu jamani!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini mwandosya mungu ampe nguvu jamani!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 30, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Mungu baba mwenye enzi yote muumba mbingu na dunia mjaza neema ndogo ndogo na kubwa ndefu na fupi nene na nyembamba tunaomba kama watakatifu wako utusamehe dhambi zetu zote tulizofanya kwa kuwaza kunena na kwa kutenda ..MUNGU baba tunaomba ushushe uponyaji wa ko juu ya kiumbe wako prof mwandosya ambae amerudi kutoka india

  MUNGU mwenyezi tunaamini akuna kinashindikana kwako ulimtoa mwanao kwa ajili yetu na kwa kupigwa kwake YESU mwandosya amekwisha pona ..MUNGU baba naomba utamalize maadui zake wote wanaotarajia kumzika prof mwandosya tunatangza uhai juu ya maisha yake

  wewe ni MUNGU unaesema unaesikia ulisema kwenye hesb 14:28 lolote tutakalo sema nafsini mwetu unakwenda kufanya ninatangaza uponyaji juu ya mzee wetu ninatangaza nguvu juu ya mzee wetu na wote wanaomsaidia kwenye uhai wake kupitia mwanao YESU KRISTO tunaomba

  na kama waamini mungu sema

  Ameeennnnnnniiiii
   
 2. maziwa ya mgando

  maziwa ya mgando Senior Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hope uko sincere.
  maana Mungu, Yesu na Bwana umeandika kwa herufi ndogo.
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  Pengine weewe ni mmoja wa ndugu wa mwandosya aliekuja kumpokea majuzi najua kwa hali ya kibinadamu ni ngumu kuamini hali yake na alivyokuwa napenda kuwatia nguvu familia leoo leooooo nawatangaziaa uponyaji wa YESU juu ya mwandosya yesu amekuja kusafisha ,kusafisha kansa ya damu anayosumbuliwa ,kisukari na magonjwa yotee yanayoitwa sugu YESU akuwa na usugu kama alimnyanyua lazaro aliekuwa kaburini siku tatu na kunuka leo hii ......naomba muamini YESU ni yeye yule jana na leo na hata milele akuja kuokoa waliookolewa amekuja kuokoa wenye shida...naomba muamini MUNGU anaweza mama yetu jipe moyo natamani kupata nafasi ya kumwombea mzee naamini MUNGU hana dist..popote tutakapotuma moto wa YESU magonjwayanakwenda kuisha ...uchawi unakwenda kuisha yamkini wapo maadui wanafikiria kuja na marange yao kukuzika leo hii natangaza kuwaondoa na kuwafyeka kama baibo inavyosema usiache mchawi aishi basi natangaza maadui zako kuanza kufyeka in JESUS name
  MUNGU wa mbinguni akawape imani ya uponyaji..nilimwona kwa mbali nikaamini MUNGU atamnyanyua pale alipo...MUNGU anasafisha damu jamani tuamini hilo....
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  thnks well ntd n corr
  gnyt
   
 5. maziwa ya mgando

  maziwa ya mgando Senior Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 167
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ok, sikujua kama ni wa mlengo huo.
  Sorry kwa kukuharibia sredi.

   
 6. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Pididy sikujua una imani iliyo na nguvu.
  Naungana nawe kumwombea Prof Mwandosya a pate nafuu, maumivu yote ni kazi ya mwovu lakini Prof atayashinda yote katika Yeye atakaye mtia nguvu.
  Kabla sijalala NaombaMungu aliye hai amsaidie ayapite yote salama.
  Amen
   
 7. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mi ninasema A.M.E.N
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Na iwe kama ulivyhoomba, yote katika jina lipitalo majina yote la Yesu Kristo!
   
 9. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Ameni.
   
 10. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Castle light zinaongea hapo......utadhani siku hizi wanazifanyia cocktail na Biblia!!...
   
 11. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Shetani mkubwa wewe toka kwa jina la Yesu kristo. Ushindwe na ulegee.... pepo mchafu nakuamuru toka.
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  MUNGU ndo nani?
  YESU ni yupi?
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,634
  Trophy Points: 280
  Anzisha thread utapata majibu ya kutosha hapa tunamwombea Prof Mwandosya sawa sawa !.

   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  huyu sio wa kutoka tu atoke na fyekwe na mapanga kwa jina la YESU wala asirudi tena humu unajua unawezakuwa unajua ameandika mtu kumbe mapepo matupo loh.....kwa jina lililo Kuu kupita yote Jina la Yesu usirudid tennnnnaaaaaaaaa
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  pole mpwa too late wenye ufahamu atuko hapa kubishana tuko kumwombea Mwandosya
  ushauri tu Mwombe Mungu akupe ufahamu najua sio wewe ndio maana Mnapeleka watoto wa miaka miwili chuo chuo gani wanasoma watoto wa miaka miwili jamani....
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Baba Mungu Mwenyezi, wewe uliyejifunua kwetu kama Mwanakondoo mtiifu, Yesu, wewe ambaye unatamalaki mioyoni mwetu kwa kumtumia Roho wako mtakatifu,
  tumamsogeza mbele yako Mzee wetu, tazama maumivu yake, tazama tabu zake. Ni wewe umesema kuwa kwa kipigo cha Yesu pale Msalabani sisi tumepata kupona.
  Damu yako yenye utakaso, damu yako inayosafisha, Damu yako inayofanya mwanadamu awe mpya, itumike sasa kumpa uzima Mzee Mwandosya. Tunaamini hakuna nguvu za uchawi wala majini yanayoweza kushindana nawe Mungu Yesu. Shughulika na afya ya Mzee wetu na naamini katika Jina pekee la Uponyaji la YESU kristo, Mzee Mark Mwandosya atapona.
   
 17. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,523
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Anzisha thread yako yenye maswali ya hivyo utapata majibu kadiri ikupasavyo. Mimi nitakupa shule mwafaka. Hii thread ni kwaajili ya kumwombea mzee wetu Mwandosya ili Mungu wa UTATU ambaye ndiye Mungu pekee aliyetuumba sote amponye. Na atamponya tu, sema AMEN
   
 18. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  wanyakyusa banaah........:gossip:
  :gossip:
   
 19. Nkamu

  Nkamu JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wanyakyusa wamefanya nini? Watu tumekaza kumwomba Mungu amponye mzee wetu Prof. Mwandosya, wewe unataka kuongea na wanyakyusa; watafute uongee nao!

  Eeh Mungu usimwache mtumwa wako Mwandosya aendelee kuteseka ktk maumivu yake makali. Ingilia kati na umponye Mark! Wewe ambaye unamjua Mark ndani na nje; ng'oa mzizi wa ugonjwa wake ili na matawi yaweze kunyauka, ni ktk jina la Yesu tunaomba! Wote tuitikie Ameni!
   
 20. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,540
  Likes Received: 10,465
  Trophy Points: 280
  Aaaaa! Pdidy umeanza unaharibu sijawai kusikia panga likifyeka kwa jina Yesu.....pamoja sana kumwombea mzee wetu.
   
Loading...