Tuandike taarifa za kweli,tuachane na ujinga wa 1 april | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuandike taarifa za kweli,tuachane na ujinga wa 1 april

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sodeely, Apr 1, 2012.

 1. sodeely

  sodeely Senior Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wana jamii forum, watanzania sasa wana shauku ya kujua kile kinachoendelea kwenye chaguzi za leo..
  Tukikaa muda wote tuna andika taarifa za uongo,hatuwatendei haki..
  Kama ujinga waachieni magamba pekee..
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  sikukuu yenyewe ndiyo imeishia hivyo saa 6.00 mchana
   
Loading...