TANGAZO: Kuhusu siku ya wajinga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TANGAZO: Kuhusu siku ya wajinga.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jidundufila, Apr 1, 2012.

 1. Jidundufila

  Jidundufila Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Napenda kuwapa taarifa kuwa siku ya wajinga imekwisha saa nne asbh. Hivyo naomba tuendelee na utaratibu wetu wa kawaida.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,084
  Likes Received: 7,312
  Trophy Points: 280
  Sure,
  Maana tunafuatilia updates za Arumeru mtu analeta utani!!
   
 3. B

  BLB JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 395
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  thanx mkuu,
  mi nashukuru imepita nikiwa church,,
   
Loading...