Kati ya Lusinde na Mzee Malecela nani anastahili kuwa mwakilish wa MTERA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kati ya Lusinde na Mzee Malecela nani anastahili kuwa mwakilish wa MTERA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Apr 1, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Wadau,mwaka 2010 kwenye kura za maoni Lusinde alimuangusha mzee Malecela,wadau wengi wakasema si vibaya kwa vijana kushika hatamu,weng wakaamin kuwa jimbo la MTERA limepata kijana atakayewawakilisha,hasa alipojipachika jina la 'KIBAJAJI',
  Lakin kinachoendelea sasa ni tofaut,si NDANI YA BUNGE si NJE YA BUNGE,bwana Lusinde huwa hana la maana analolizungumza.katika kikao cha bunge la Bajeti la mwaka jana niliwah kumuona LUSINDE akisema kuwa'MH.SPIKA NAOMBA WABUNGE WAKAPIMWD AKILI'kama sijamnukuu vibaya,Juz Lusinde huyohuyo ameporomosha matus Arumeru.
  HAPA NDO NAULIZA LUSINDE NA MZEE MALECELA NI NANI ANASTAHIL KUENDELEA NA WANA'MTERA.HAPO SITAK KUHUSISHA MTU WA UPINZANI,TUWAJADIL WAO KWA WAO.
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,105
  Likes Received: 7,363
  Trophy Points: 280
  Hapo hamna hata mmoja,
  Labda Kwa mbaaaali @NY, Le Mutuz, Baharia wa Nchi Kavu, Big Show, Mbunge EA.
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mzee walimchoka Mtera! Hata kama angesimama na jiwe angeshindwa
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  je wana'mtera kwa sasa wana'muwakilish?
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  je jiwe lisilosema,na lusinde anaetukana!
   
 6. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  wote hawafai
   
 7. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tumbili na ngedere wote ni MANYANI TU!
  Kenge na mamba wote ni MIJUSI TU!
  Kulia na kucheka zote ni KELELE TU!
   
 8. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Watu wa mtera bure kabisa
   
 9. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Inaelekea mmekwisha amini sasa kuwa baharia hawezi kupenya kuwa mbunge wa E.A. na mmeamua kuanza kumpigia ndogondogo huko Mtera!!
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  lusinde amezid bhana
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  walonielewa wamenielewa na nashukuru,thats y wanachangia,we kama hujanielewe,RUDIA HUO UZI
   
 12. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahahah,dah hata wao kwa wao?
   
 13. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kuna kila 7bu ya kuchambua tena kwa umakini,uhalali wa Livingston kutukana
   
 14. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ili iweje?
   
 15. Josephine03

  Josephine03 JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 752
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe ni wa Mtera mpaka uwachagulie? Uwezo wao na akili zao huwa zinaendana na Mbunge waliyenaye nasema hivi sababu naangalia watu kama Arusha kutokana na maisha yao na aina ya wakaazi na mbunge wao wanaendana nao vivyo hivyo na majimbo mengine ambayo hayakuchakachua kura zetu
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  hahahah,nimependa uchambuz wako wa WABUNGE,TABIA ZAO NA TABIA ZA WAPGA KURA WAO KWENYE MAJIMBO YAO,
  NSAIDIE KWENYE MAJIMBO HAYA.
  -temeke
  -ilala
  -kinondoni
  -bumbuli
  -urambo
  -kigambon
   
 17. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Unauliza az if w@ny@
   
 18. chokambayaa

  chokambayaa JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 528
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kuna mtu anaitwa Machilika anataka kutia timu huko mtera labda anaweza kuwafaa!!!
   
Loading...