CCM yashinda Lagangabilili

CCM yashinda Lagangabilili

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2011
Posts
3,216
Reaction score
994
Nimeambiwa udiwani kata ya Lagangabilili-Bariadi CCM wameibuka kidedea dhidi ya UDP : Chadema hilo ni jimbo la kufuatilia maana John Cheyo kwishney kama upinzani mkiendelea kumwachia jimbo linarudi CCM 2015 mzee mapesa choka mbaya, magamc wamemmaliza amebaki kujikomba kwao
 
Siyo jimbo ni kata-diwani wake kaanguka lakini pia kwa ujumla jimbo CCM watamnyang'anya. Pace ya UDP inatia aibu Bariadi ilikokuwa imekita mizizi
 
Back
Top Bottom