Vijue vituko vya arumeru wagombea watatu akiwemo SIOI SUMARI wa ccm UPDP na TLP

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Katika hari ya kushangazi ni kuona mchakato mzima ulivyo kuwa na kufika mwisho eti mgombea binafsi hajipigii kura.....
Wagombea hawa SIOI SUMARI wa ccm yeye alijiandikisha mbezi beach TLP alijiandikisha Arusha mjini na UPDP Arumeru mgharibi
aiseeeeeeeeeeeeeee


sosi ITV......
 
Ndio ujue wameru wameuziwa mbuzi kwenye gunia.
Na Leo fool day ndio kabisa wamepatikana,
Na navyowajua lazima waingie choo kisichotumika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom