Mpaka sasa hivi saa 3.47 usiku umeme ulikatika toka saa 11.00 alfajiri hakuna dalili za kurudishwa ukizingatia kuwa Maji, simu kuchajiwa, kunyoosha ngua za kazini na mboga za kwenye mafriji vyote...
kama mwalimu, ninaeipenda kazi yangu, nimesikitishwa na tamko la serikali bungeni hivi leo kupitia waziri wa utumishi wa umma-Hawa Ghasiah, akijibu swali la mbunge aliyetaka kujuwa kwa nini...
Kwanza wana JF wenzangu poleni sana na msiba wa Kanumba
Pili poleni kwa hang over, na pilau la Pasaka
Tatizo langu ni kushindwa kumuelewa huyu baba riz (JK), nimeona katika moja ya magazeti ya...
Habarini za jion wana JF,nadhan mko vizr baada ya mihangaiko ya mchana kutwa.pia polen sana kwa kumpoteza kijana mwenzetu SCK tuliyemzika leo.
kuna jambo nimeliona ktk hii tasnia ya filam...
Polisi mkoani Morogoro inamshikilia Shaban Matibwiri,kijana mwenye umri wa miaka 25,mkazi wa Mji mpya mkoani Morogoro.Shaaban anashikiliwa kwa kosa la kukutwa na Misalaba mitano inayo sadikika...
Ningependa kuwaeleza juu ya experience yangu binafsi, hasa katika kipindi hiki ambacho kuna utata juu ya kifo cha kanumba. Ukweli ni kwamba katika mazingira fulani, unywaji wa pombe kali unaweza...
Chama cha wananchi (cuf) kimeandaa maandamano makubwa ya wakulima wa korosho tandahimba yatakayofanyika kesho tar-11/04/2012. Maandamano hayo yanalengo la kufikisha ujumbe kwa serikali kwamba...
Nyie akina Steve Nyerere, JB, Ray, Mainda etc etc...... ambao mnasema kuwa Kanumba kawasaidia sana hadi kufika hapo mlipo.... KWA NINI HAMKUTUELEZA HAYO WAKATI AKIWA HAI? Au ndo yale yale ya...
Hivi wafanyakazi wa TRA hamridhiki nini? mbona mna mishahara mizuri mizuri lakini ndo wala rushwa wakubwa
kwanini dereva au mtu anahitaji TIN number anachukua muda mrefu anaambiwa aje wiki ijayo...
Tuliambiwa kuwa chadema tv inakuja na naona wamepiga hatua nzuri kwa kuwa na chadema tv kule you tube japo hawa upload matukio yote( sasa sijui zile kamera zote kwenye mikutano wanapeleka wapi...
Samahani jamani
naomba kuuliza mama mjazito amepanda ndege ya klm kuelekea amsterdam mtoto akazaliwa angani
huyo mtoto anakuwa na uraia wa aina gani jamani???
Hi ifike wakati tuanze kujilinda wenyewe ndugu zanguni
nimeanza kuhofu huu mfululizo wa ndege za atcl kupaki kimoja kwenye mikoa mbaya
pemben kabsa ya uwanja kuonyesha tulikuwepo nahisi ni wakati...
Lazy men believe in luck, but men of worth believe in facts. A wise man once said, "success is matter of luck, ask any failure". Rather than go for facts, the lazy man thinks people arrived at...
Wapendwa ninafurahi kuona ID alafu ukawa unamjua yeye akujui je wewe katika ID za humu ndani unaweza kufahamu nikiongozi gani wa serikali??Waziri,Katibu Mkuu,Wakurugenzi?Viongozi wa vyama vya...
American civil rights leader Martin Luther King, Jr put it aptly: It is not enough to say we must not wage war. It is necessary to love peace and sacrifice for it.
Darkness cannot drive out...
Kipindi cha "This week in Perspective" ni moja ya vipindi vizuri vyenye kuchambua mambo muhimu sana katika jamii ya kitanzania.Hujaribu kufafanua masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya jamii -...
Concussion OverviewThe term concussion describes an injury to the brain resulting from an impact to the head. By definition, a concussion is not a life-threatening injury, but it can cause both...
Jamani hii imekaaje kwa hiki ki tv kumkata mbunge shibuda amby alianza tu kuongea au gubu tu!si wenyewe wamejipndkz kurusha mazishi ya Kanumba sa kwnn wanabagua Shibuda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.