Katika hizi ID za JF unaweza ukahisi ninani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katika hizi ID za JF unaweza ukahisi ninani??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaKiiza, Apr 9, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Wapendwa ninafurahi kuona ID alafu ukawa unamjua yeye akujui je wewe katika ID za humu ndani unaweza kufahamu nikiongozi gani wa serikali??Waziri,Katibu Mkuu,Wakurugenzi?Viongozi wa vyama vya siasa,Viongozi wakuu wa dini?
  Hata Ma-Rais wa East Africa yawezekana!Bet!
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,301
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Huwezi jua.
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ya nini napita na zangu
   
 4. spencer

  spencer JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 2,792
  Likes Received: 1,337
  Trophy Points: 280
  Asa kwa nini kuna nick name?
   
 5. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  Mimi nakufahamu wewe ila wewe hunifahamu.kazi kwako
   
 6. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Searching...100%
  Loading...30%
   
 7. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Madudu, hiyo list yako Imejaa maboga
   
 8. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,349
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mi sishughuliki kufahamu mtu, nnaangalia hoja tu,
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Unapima upepo kama watu wanakujua? Kwa taarifa yako tunakujua kuanzia uliposoma kote na mpaka ulipoamia kazi ya sasa,nikutaje full name na kazini kwako?
   
 10. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,686
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Si rahisi, ila nilikuwa na wasiwasi na ID ya Edwin Mtei, is it confirmed? Maana ule ni mchemsho uliopita kiasi.
   
 11. E

  EGPTIAN Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Confermed ni Mtei na confermation imefanywa na Mnyika.
   
 12. Titans

  Titans JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 867
  Likes Received: 1,073
  Trophy Points: 180
  angalieni msile ban wajameni..ban pains more than you think
   
 13. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  ID ya Mtei ithibitishwe na Mnyika? Utakuwa na matege ya ubongo wewe
   
 14. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,219
  Likes Received: 2,084
  Trophy Points: 280
  Mtoa mada, polepole, unakoelekea siko. Kifungo kiko njiani. Suala la identification ni siri na private issue hapa JF, ukiigusa tu, ban unayo. Usitake sana kujua nani ni nani hapa JF
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mie hapa ni mmoja wa mawaziri wastaafu....................Cheo nilichowahi kikushikilia wakati nasoma chuoni
   
 16. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  Gustavo, huishi vituko?
   
 17. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mleta mada unataka kusababishia watu BAN..
  Reason: Name calling
   
 18. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Katajwa mtu hapa??ban ya nini hapa kwa kosa lipi?think twice bro!

  Ahaaa umepiga diversion ghafla!!Poa mkuu nasubiri story zako baada ya pilikapilika za pasaka!!
   
 19. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,997
  Likes Received: 2,653
  Trophy Points: 280
  Ile ID ya MAMA POROJO nahisi atakuwa ni Rwakatale maana hapishani nayo hata kidogo.
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kazi hiyo wanafanya maajenti wa UWT ya kutafuta watu humu JF wanaomponda Kiwete na serikali yake; matokeo yake hawa maajenti wanampelekea wrong intelligence [ wrongly identified people] na yeye anaitumia kuwaumiza hawa watu kwenye maamuzi yake!! What a pity! Punishing wrong people and making wrong decisions based on wrong information.
   
Loading...