Kwa nyie mliosaidiwa na Kanumba....

Kwa nyie mliosaidiwa na Kanumba....

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Posts
34,637
Reaction score
38,026
Nyie akina Steve Nyerere, JB, Ray, Mainda etc etc...... ambao mnasema kuwa Kanumba kawasaidia sana hadi kufika hapo mlipo.... KWA NINI HAMKUTUELEZA HAYO WAKATI AKIWA HAI? Au ndo yale yale ya kusifia marehemu...??

NA SISI WENGIWE.... KWA YEYOTE ALIYEKUSAIDIA, NI BORA UKAMTAJA AKIWA HAI KULIKO KUSIBIRI AFE HALAFU MUANZE KUTOA SIFA KEDE KEDE................
 
Kama hauna cha kusema kaa kimya
 
mm najua kabisa mlikuwa hammpendi kanumba coz alikuwa juu na kazi zake zinauzika kama ni kwelil mngekuwa angalau m1 angekuwa tha great
 
Kanumaba kashaenda! wengi wamekosa ajira...wapambe wake! suala la kusifia marehemu ni kawaida hasa kwa sisi waafrika! ni aina flan ya kujikosha..
 
Hata mkikataa ishakuwa ni jadi yetu wanadam kutaja yaliyo mazuri na kumsifia marehem, labda iliyopo sasa tubadilike kutokana na hayo tangia sasa
 
Back
Top Bottom