Nyomi ikielekea leaders | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyomi ikielekea leaders

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwana kinyonga, Apr 10, 2012.

 1. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Niko hapa mitaa ya kinondon,naona nyomi la kufa m2 likielekea viwanja vya leaders kwa shughuli ya kuuaga mwili wa marehem sk.
  RIP KANUMBA
   
 2. Mwana kinyonga

  Mwana kinyonga JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Msafara uko salender wanaweka mambo sawa
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  kweli mdau,me nipo pande za hapa mkwajuni,kuna folen ya ajabu na nauli zimeshapanda,jam inaanzia magomen,gari za posta znapita kawawa leo
   
 4. P

  PGM Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu ailaze Roho ya marehemu Kanumba mahali pema peponi Amina !
   
Loading...