Unywaji pombe kali unaweza ukufanye ushindwe kupumua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unywaji pombe kali unaweza ukufanye ushindwe kupumua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Synthesizer, Apr 10, 2012.

 1. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 4,331
  Likes Received: 3,124
  Trophy Points: 280
  Ningependa kuwaeleza juu ya experience yangu binafsi, hasa katika kipindi hiki ambacho kuna utata juu ya kifo cha kanumba. Ukweli ni kwamba katika mazingira fulani, unywaji wa pombe kali unaweza ukasababisha ukashindwa kupumua (suffocation). Na hali hii ni hatari hata zaidi unapokuwa kwenye mazingira ya hewa nyepesi, na zaidi ndani ya ndege inayosafiri.

  Ilinichukua muda mrefu kugundua kwamba nyakati fulani taabu kubwa ya kupumua iliyokuwa ikinipata ilitokana na kunywa pombe hasa kali, na mara nyingi ilitokea si kwa sababu nilikunywa sana bali hata kiasi kidogo. Ukinywa sana ni mbaya hata zaidi. Si watu wote wanapata tatizo hili, na linaweza likakuanza wakati wowote. Huko nyuma sikuwa na hili tatizo.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  asante kwa taarifa
   
 3. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Jack Daniels?
   
 4. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kutukumbusha sayansi-kimu!
   
Loading...