Polisi mkoani Morogoro inamshikilia Shaban Matibwiri,kijana mwenye umri wa miaka 25,mkazi wa Mji mpya mkoani Morogoro.Shaaban anashikiliwa kwa kosa la kukutwa na Misalaba mitano inayo sadikika kung'olewa kutoka makaburi ya Kola Morogoro.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.