Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wafanyabiashara wa maduka yanayozunguka soko kuu Makambako, leo wameandamana na kuziba barabara zote kuu za songea, mbeya na Iringa. Tatizo ni walinzi waliowaweka wao wenyewe kwa ajili ya kulinda...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Iwapo mtu amefia nyumbani kwake na mwili wake ukabidi kwenda kuhifadhiwa hospitalini, kwa nini haubebwi na ambulance? Na iwapo utabebwa na kwa njia nyingine yoyote, kwa nini mwili hawaufuniki...
6 Reactions
37 Replies
5K Views
Kama ni njaa basi kwa waandishi hawa imevuka kiwango,hii imetokea katika kampeni za uchaguzi zilizomalizika Arumeru mashariki,ambapo waandishi wa habari wa kike wamethubutu hata kujirahisi kimwili...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Maoni ya katuni Jana katika safu hii tuliandika tahariri mbili, moja ilibeba kichwa cha habari kinachosema ‘Chonde chonde wachuuzi ondokeni Ubungo Tanesco’ tuliwalenga wachuuzi ambao wametanda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hajabu kuona watawala wetu tuliowaamini wanauza ardhi yetu kwa wageni kwa bei ya kutupa bila kujali maslahi ya wazawa. Je haya ndio mafanikio ya miaka 50 ya uhuru?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo hii nimekutana na kitu ambacho nimeshindwa kuamini wakati nilikuwapo eneo la tukio, nilimtembea jamaa yangu nyumbani kwake baada ya lunch mkewe akapigiwa simu na mama yake mzazi, mama alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Karume day hajaoneka na kwenye mazishi ya Igp hakuonekana.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kwa nini uwanja wa ndege wa kigoma hauna lami?kuweka lami ni jambo la anasa? inawezekena huhusiki ila sijaona mtu mwingine wa kuuliza hili swali la kuhusu kigoma
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni dhahiri sasa zile kazi za ndanina nje.(house boy ,house girl, bar maids.na bila kusahau zile kazi za umanamba kwenye mashamba ya tumbaku na katani mkoa wa tabora na huko tanga.).zimebatizwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kundi la wanajeshi kutoka vikosi mbalimbali Tanzania ambao wamepiga kambi MGULANI kwa aajiri ya Maandalizi ya GWARIDE la muungano juzi juzi hapa walifedheheshwa na CAPTEN wao baada ya kuwambia...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Heshima mbele wakuu,nimekua na ndoto siku nyingi za kuwakilisha jimbo langu la Muleba kusini kama mbunge katika Bunge la Jamhuri,Hii sio tu kwa ajili ya kutimiza ndoto zangu tu,bali pia kusaidia...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana JF(majembe), nimefuatilia hukumu ya lema iliyotolewa na Jaji Gabriel Rwakabalira na kuona kwamba kuna vipengele viwili vifuatavyo; Illegal campaigns(kifungu 108),kama mbunge wakati wa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
My take!!! usalama wa ndege zao naomba uangaliwe sana kwani si mala ya kwanza.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wewe unayetumia vibaya na kipuuzi uhuru wako na pia rasilimali TEHAMA nakupa onyo la mwisho. Si ujanja kuposti video zako U-Tube kwa jina la Wasanii maarufu mfano Kanumba (RIP), Bukuku, Rose...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele na Poleni sana kwa Misiba iliyotokea na kuwagusa wengi kwa namna moja ama nyingine. Pia Heri ya Sikukuu kwa wale wanaohusika. Wakuu kuna hoja nimeipata kutoka kwa Rafiki yangu...
1 Reactions
57 Replies
9K Views
Watu kadhaa wamefariki mkesha wa pasaka na wengine wengi kujeruhiwa kwa mapanga huko musoma!Jamani huko musoma kuna utawala gani?mbona matendo ya unyama hayaishi?source ITV news
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Najaribu kufikiri vichwa vya habari 2014 baada ya Jaji Warioba kumaliza kazi yake kwa mafanikio makubwa na kuhakikisha kipengele cha kuruhusu mgombea binafsi katika chaguzi zetu zote. My take...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza kabisa naomba niseme jeshi letu la polisi linatakiwa lisifanye kazi upande wowote ule sababu mishahara yao inatokana na kodi zetu. Kwann nasema polisi tz hakuna kitu tumeona msiba wa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeshangaa nimemsikia jaji mkuu mstaafu Agustino Ramadhani BBC anasema 'Tanzania ina mikoa 22 sijui 23' My take: sikufurahia kwa mkubwa huyu kushindwa kuweka kichwani mambo ya msingi kama hili...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Dar drug barons now enter fake goods market By JOSEPH MWAMUNYAGE THE EAST AFRICAN Authorities in Tanzania now believe that powerful drug barons in the country have moved actively into...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom