Swali: Chadema TV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali: Chadema TV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by i pad3, Apr 6, 2012.

 1. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tuliambiwa kuwa chadema tv inakuja na naona wamepiga hatua nzuri kwa kuwa na chadema tv kule you tube japo hawa upload matukio yote( sasa sijui zile kamera zote kwenye mikutano wanapeleka wapi maclip yao au wanaangalia nyumbani kwao) ila imesaidia sana kwani chadema tv ndio waliomlipua yule Lusinde na matusi yake bila hivyo issue ingeishia juu juu tu.
  sasa swali langu ni chadema tv ipo kwenye mchakato au bado? wananchi tupo tayari kuchangia ili tv iwe hewani. DR Slaa aliahidi kuwa wanalifanyia kazi . tunaomba mwenye details atuambia kuwa mambo yanaendeleaje huko.
  Pasaka njema wote
   
 2. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Dr Slaa ni member humu. Tusubiri majibu yake!
   
 3. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kapotea
   
Loading...