Safari ya Kikwete na Kifo cha Kanumba

Safari ya Kikwete na Kifo cha Kanumba

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,132
Reaction score
1,668
Kwanza wana JF wenzangu poleni sana na msiba wa Kanumba
Pili poleni kwa hang over, na pilau la Pasaka
Tatizo langu ni kushindwa kumuelewa huyu baba riz (JK), nimeona katika moja ya magazeti ya leo, kupitia mtandao kuwa ameahirisha safari yake ya nje ili kuhani kifo cha Kanumba, hilo ni jambo jema lakini halina weledi wala maslahi kwa taifa isipokuwa tu kama safari yake ilikuwa ni binafsi, nayo pia iwe haikuwa na maslahi kwa taifa.
Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa ni huyuhuyu baba riz aliyeondoka nchini wakati akiacha mgomo wa madaktari unaanza na maelfu ya watz kupoteza maisha,
ni huyuhuyu baba riz aliyeondoka nchini akiacha maafa kule arusha ambapo polisi waliua watu kwa risasi Jan 5 2011
na mengine kama hayo
sasa kama huyu ndo hivyo tanzania inaenda wapi? maslahi ya taifa yako wapi? weledi na uwajibikaji viko wapi?
J3 ya pasaka njema
 
Inasikitisha! Maskini nchi yangu Tanzania!
 
Nadhani focus ya JK iko kwenye wrong goal post! Wakati mpira unatakiwa uelekezwe kusini yeye anapeleka mashambulizi kaskazini. Poor him!
 
Kama ameahirisha safari (hata kama alikuwa anaenda Kigamboni) kwa sababu ya msiba wa mcheza filamu basi ni wazi hiyo safari (a) sio muhimu kabisa na hiyo asipoenda huko alikukuwa anaenda hakuna litakaloharibika na (b) aliiwahisha kwa mfano mkutano ni Jumatano yeye akaamua kuondoka Jumapili!

Pia ningependa kuuliza, kwa kama JK alikuwepo kwenye maziko ya Rt. IGP Mahundi Jumamosi? Kama hakuwepo ni sababu zipi zilimfanya asihudhurie huu msiba mkubwa hivi maana sio kawaida kwa rais wetu kutohudhuria misiba?
 
Mmmmh nna mashaka hebu mtoa mada atuambie source yake sio kusema tu et moja ya magazeti ya leo tupe nomino ya hilo gazeti nasi tulipitie"
 
[h=3]JK Aomboleza Msiba Wa Steven Kanumba[/h]

​
Nyumbani kwa marehemu, Sinza Vatican. Picha Zote: Ikulu

[TD="align: center"] Reactions:: [/TD]

. Sunday, April 08, 2012 19 comments

[h=3]JK: " Ndugu Zangu Poleni Sana!"[/h]

​
JK akitoa mikono ya pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu Steven Kanumba, Sinza Vatican hii leo. Picha zote: Ikulu

[TD="align: center"] Reactions:: [/TD]

. Sunday, April 08, 2012 0 comments

[h=3]Mkono Wa Pole Kutoka Kwa JK[/h]
​
Kwenye msiba wa Kanumba

[TD="align: center"] Reactions:: [/TD]

. Sunday, April 08, 2012 0 comments

[h=3]JK Akitoa Mkono Wa Pole[/h]
​
Kwa ndugu , jamaa na marafiki wa marehemu Kanumba
 
Baba riz1 alikuwa anakwenda ugaibuni kusimamia biashara zake za wanyama(twiga,punda milia).
 
Kwanza wana JF wenzangu poleni sana na msiba wa Kanumba
Pili poleni kwa hang over, na pilau la Pasaka
Tatizo langu ni kushindwa kumuelewa huyu baba riz (JK), nimeona katika moja ya magazeti ya leo, kupitia mtandao kuwa ameahirisha safari yake ya nje ili kuhani kifo cha Kanumba, hilo ni jambo jema lakini halina weledi wala maslahi kwa taifa isipokuwa tu kama safari yake ilikuwa ni binafsi, nayo pia iwe haikuwa na maslahi kwa taifa.
Kumbukumbu zangu zinanionesha kuwa ni huyuhuyu baba riz aliyeondoka nchini wakati akiacha mgomo wa madaktari unaanza na maelfu ya watz kupoteza maisha,
ni huyuhuyu baba riz aliyeondoka nchini akiacha maafa kule arusha ambapo polisi waliua watu kwa risasi Jan 5 2011
na mengine kama hayo
sasa kama huyu ndo hivyo tanzania inaenda wapi? maslahi ya taifa yako wapi? weledi na uwajibikaji viko wapi?
J3 ya pasaka njema

Analysis yako ingekuwa relevant kama Rais angesema "ameahirisha safari ya nje" lakini alichosema Rais ameahirisha safari ya kwenda Mapumziko ya Pasaka ambayo mara zote huwa ni ndani ya nchi Kama sio Arusha kwenye Mbuga za wanyama au nyumbani kwao Chalinze. Mwandishi wa gazeti la Mwananchi amekuwa sensational akitaka kupamba story yake.

Ukitaka ukweli refer to news bulletin ya itv na tbc ya jana usiku......hakuna mahala amesema habari ya kuahirisha safari ya nje.
 
mrema aliwahi kumwambia kikwete miaka ya mwanzo ya utawala wake kazi ya kutembelea wagonjwa na kushiriki mazishi mengi awaachie masheikh na maaskofu,yeye kazi yake ni kuinua hali ya uchumi na ustawi wa nchi,
 
Kuna nchi zinasema Rais ni msanii wa Lugha aliyetumia sanaa yake ya lugha kushawishi watu wakashawishika kumfuata, ndio maana Rais kuitwa mnsanii no. 1, hivyo naona sawa kuhudhulia.
 
huyu jamaa sasa cjui hata jina gani litamfaa ..... maana hamna hata moja ambalo linaweza beba sifa alizokuwa nazo
 
Analysis yako ingekuwa relevant kama Rais angesema "ameahirisha safari ya nje" lakini alichosema Rais ameahirisha safari ya kwenda Mapumziko ya Pasaka ambayo mara zote huwa ni ndani ya nchi Kama sio Arusha kwenye Mbuga za wanyama au nyumbani kwao Chalinze. Mwandishi wa gazeti la Mwananchi amekuwa sensational akitaka kupamba story yake.

Ukitaka ukweli refer to news bulletin ya itv na tbc ya jana usiku......hakuna mahala amesema habari ya kuahirisha safari ya nje.
Iwe ya safari ya manerumango iwe ya kigambano bado huyu rais wetu hajui wajubu wake. Rais wa nchi huhudhuria mazishi kwa sababu maalum na kwa watu maalum. Sio hata hivi vihuni vya uchochoroni. Kama kuna ulazima sana pole aliyotoa pale nyumbani inatosha. Tanzania imeingia kwenye usanii mbaya sana wa kuona mazishi ni sehemu ya kufanyia usanii na unafiki wa siasa. f-------
 
Prezidaa Nyoshi ya Magogoni, Perdeshee ya pesa mupyamupya, mutu ya masifa, ya kufotoka na masupa staa, haijui kwanini iko na nzala kwa bongo.
Buji umeua mkuu,hapa ndipo tunapoona ****** amevaa koti kubwa kumshinda uwezo wake
 
Baada ya taifa kupata msiba kufuatia kifo cha msanii maarufu Steven Kanumba(Mungu amlaze mahala pema Peponi)Mh.Rais JK alivunja au kuaalisha ziara yake ya nje ya nchi na kwenda kutoa pole kwa wafiwa na kusubiri mazishi yake.Ni swala la kibinaadamu na sawa.Lakini kinachonitia shaka katika hatua hii ya Mh.Rais JK ni ya kwamba kumewahi kutokea maswala na migogolo ambayo ililikumba taifa na ambapo busara na uamuzi wake ulihitajika lakini Mh.Rais JK alipanda ndege na kuendelea na safari za nje ya nchi.Mfano tatizo la mgomo wa kwanza wa Madaktari ambapo wananchi walikua wanapoteza maisha yao kwa mgomo huo wa madaktari lakini Mh.JK akapanda ndege na kuelekea Davos Uswiss,kitendo ambacho kilighalimu maisha na usumbufu mkubwa kwa wagonjwa na wengine kupoteza maisha.Hapa inanifanya nijiulize na kufikiri ya kua Mh.Rais JK anapokua hana majibu kwa matatizo na kero za wananchi anaikimbia nchi,lakini pale ambapo kunamatukio ambayo hayahitaji majibu ya ziada yuko tayali kuvunja safari.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Back
Top Bottom