Precission air wanaipiga atcl misumari?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Precission air wanaipiga atcl misumari??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Apr 10, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Hi ifike wakati tuanze kujilinda wenyewe ndugu zanguni
  nimeanza kuhofu huu mfululizo wa ndege za atcl kupaki kimoja kwenye mikoa mbaya
  pemben kabsa ya uwanja kuonyesha tulikuwepo nahisi ni wakati wa atcl kuamka
  sasa na kuanza kufikiria nini kinaendelea

  katika pita pita atukusita kusikia vijana yawezekana wanapigwa misumari na kampuni
  ya precission..sipendi kuamini lakini haya mambo yapo wana ndugu hata kwenye misiba wa kanumba
  jana bibi mmoja ameanguka gafla kutoka angani pemben ya nyumba aliokuwa anakaa kanumba
  alipoulizwa akadai amekuja kumchukua waende lagos kutengeneza movie

  saaa ya ukombozi ni sasa
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Acha umbea
   
 3. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ama kweli hata katika mwanga huu wa jua kuna watu wapo gizani" yaani hulioni tatizo lililo wazi kabisa Comrade unahitaji maombi hakuna misumari hapa mbona Ndege ya Rais ilinunuliwa mbovi Kwa iyo Rwanda wanatupiga misumari
  ?
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ndugu Kevin Ruto,
  Nilikusoma jana vizuri juu ya hii ishu ya ndege ya ATCL.
  Inaonekana wewe ni mweledi mzuri wa masuala ya aviation, na upo katika sekta hiyo!
  Lakini nasikitika sana kwa thread yako ambayo inakosa kabisa mashiko!
  Kama ulielewa vyema jana, ndege ile ilikuwa na hitilafu toka mwanzo, na ni ung'ng'anizi wa pilot uliomfanya aamue kuruka!
  Je PW wanahusikaje hapo?...je si kweli kwamba ndege za ATCL ni kukukuu, na ratiba za matengenezo/checks ni za kuungaunga?
  Tuache kuhisihisi, tuhakikishe ndege zinasimamiwa na wataalamu wenye kuipenda kazi...basi!
   
 5. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,102
  Likes Received: 341
  Trophy Points: 180
  Mkuu pk
  unajua leo niko na huzuni kubwa kumlaza kaka yangu kipenzi sasa najaribu kuangalia nitaondoaje
  stress jamani....tunaijua vyema ingawa ni kweli pk zile ndege zinaitaji kusimamiwa kiukweli kama atuitaji kusikia ajali yoyote hvi karibuni.....
   
 6. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  umeongea ukweli mtupu, maswali ya kujiuliza ili uelewe economic sabotage inayofanywa na precision kwa ATCL ni haya yafutayo,
  • kwa nini ndege za ATCL tu ndizo zinapata ajali?
  • ni lini umesikia ndege ya perecision imepata ajali?
  • je ni kwa nini ajali hizi zote haziui ila ni ndege tu inaharibika?
  • hujuma kubwa inafanywa hapa
   
 7. kande kavu

  kande kavu JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 17, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mwenyezi Mungu awahurumie wewe na Kelvinruto.

  Bado mko karne ya kumi. Tuulize tunao safiri na hiyo Precision Air kwenda Kigoma au Bukoba tumelazwa mara ngapi Mwanza kwa sababu ya hali ya hewa (juu na chini/tope kwenye njia ya kurukia Kigoma) wakati watukufu wako ATCL wanapuyanga tu!

  Tofauti si uchawi. Mmoja anazingatia zaidi usalama, mwengine mazoea. Kalaga baho.
   
 8. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Sijakuelewa mkuu ..

  Unaongelea ATCL? Au bibi alie anguka na ungo?
  Na bado sijaona connection kati ya hizo topic.
   
 9. M

  Mkora JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 360
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
   
 10. papason

  papason JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ukisikia kuchanganya madesa ndo huku sasa

  kazi kweli kweli!
   
Loading...