Maandamo ya wakulima tandahimba kesho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maandamo ya wakulima tandahimba kesho!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SALOK, Apr 10, 2012.

 1. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,674
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Chama cha wananchi (cuf) kimeandaa maandamano makubwa ya wakulima wa korosho tandahimba yatakayofanyika kesho tar-11/04/2012. Maandamano hayo yanalengo la kufikisha ujumbe kwa serikali kwamba wananchi wamechoka kusubiri ahadi zisizotekelezeka kuhusu malipo ya pesa za korosho ambapo serikali kupitia vyama vya ushirika ilikopa mwezi october mwaka jana. Maandamano hayo ni ya kisheria kwani wamepewa kibali na yataanzia ktk ofisi za cuf hadi ofisi ya mkuu wa wilaya tandahimba kesho saa 2 asubuhi.
   
Loading...