Mtikisiko wa Ubongo-Brain Concussion, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikisiko wa Ubongo-Brain Concussion,

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Apr 10, 2012.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  [h=3]Concussion Overview[/h]
  The term concussion describes an injury to the brain resulting from an impact to the head. By definition, a concussion is not a life-threatening injury, but it can cause both short-term and long-term problems. A concussion results from a closed-head type of injury and does not include injuries in which there is bleeding under the skull or into the brain. Another type of brain injury must be present if bleeding is visible on a CT scan (CAT scan) of the brain.
  • A mild concussion may involve no loss of consciousness (feeling "dazed") or a very brief loss of consciousness (being "knocked out").
  • A severe concussion may involve prolonged loss of consciousness with a delayed return to normal.
  [h=3]Concussion Causes[/h]
  A concussion can be caused by any significant blunt force trauma to the head such as a fall, a car accident, sports injury, or being struck on the head with an object

  [​IMG][​IMG][​IMG]
   
 2. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Mkuu ungeunganisha na hile report mkuu!!mods wakiona wanaweza kufanya hivyo
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,056
  Likes Received: 6,504
  Trophy Points: 280
  nimesoma kwa luga ya nyumbani mahali,
  ila kwa majibu hayo ni afadhali uchunguzi ungefanywa
  na waganga wa kienyeji wangetoa majibu ya uhakika kuliko hayo.
   
 4. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  duuu nimekusoma mkuu,

  so inawezekana ikawa ndo source kubwa eeeeh ya kifo cha jamaaa, kumbe haitupaswi kuanza kutoa hukumu kwa binti LULU inawezekana katika purukushani zao alianguka au alijigonja tuuu...

  duuu, lakini nimeanza kuamini 'anayeshikwa na ngozi ndio mla nyama'
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Lazima ingekua mtikisiko wa ubongo tu hakuna kingine 7bu mtuhumiwa alishasema kwamba alidondoka,riport ichunguze sababu ya huo mtikisiko!
   
 6. Jaslaws

  Jaslaws JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 5,123
  Likes Received: 2,183
  Trophy Points: 280
  Dogo ana case ya kujibu concussion sio kifafa kwamba kinakuja tu,hata kama kulikuepo na purukushana akamsukuma hope hakumsukuma bahati mbya,tht is clear a manslaughter, dogo lazima apanua mapaja anyee ndoo,asiye funzwa na mamaye..........!!dgo alijua kanunua dunia na vyote vilvyomo.
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,314
  Likes Received: 1,784
  Trophy Points: 280
  Au nimeelewa vibaya....unaweza kupoteza fahamu au kupata matatizo ya muda mrefu lakini sio kupoteza maisha. Unless kichwa kiligongana na kitu kigumu wakati kilikuwa na matatizo tayari...
   
 8. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  inawezekana,lakini bado wanasema kuwa unaweza kupoteza maisha baada ya siku tatu,hata kama hautopoteza wakati huo ulipo anguka ama ulipogongwa na kitu kizito
   
 9. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,871
  Trophy Points: 280
  Sasa kama IS NOT A LIFE-THREATENING INJURY, hawa madaktari wetu iweje waseme ndio chanzo cha kifo?

   
 10. Catch-22

  Catch-22 Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 55
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna matukio mengi mno ya watu kufa kwa concussion.
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,056
  Likes Received: 6,504
  Trophy Points: 280
  Ukishakufa wewe umekufa, hakuna zaidi.
  ole wao wale waliokuwa wanamtegemea marehemu kwa njia moja
  au nyingine.
   
 12. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata mimi nashangaa sana, niliwahi kushuhudia incidents za brain concussion watu wanapoteza fahamu kwa muda alafu wanazinduka, lakini hii ya STEVE inatisha sana impact yake ilikuwa ya BRUTE force ambayo si yakawaida! Mimi si amini kama hiyo ilikuwa ni mambo ya kuangukia kisogo tu basi - Mungu atanisamehe nikisema kwamba kuna walakini sana, mimi naona aidha alipigwa na kitu blunt kwa nguvu nyingi sana na mtu wa miraba minne; si rahisi kisicha kile ku-inflict trauma kama hile ikikumbukwa kwamba STEVE naye alikuwa mtu anayafanya mazoezi, au mtu alimsukuma kwa nguvu za ajabu sana mpaka akajigonga kwenye kitu blunt, swali ni je kisichana hicho hizo nguvu kilizipata WAPI?
   
 13. E

  Eugeniafaith Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Inaweza kutokea,mara nyingi iwapo muhusika alishawahi kupata mild brain injury siku za nyuma.....na kwa mara ya pili hujulikana kama second impact syndrome

  Diffuse cerebral swelling is a rare but generally fatal complication of mild head injury . The cause is hypothesized to be disordered cerebral autoregulation causing cerebrovascular congestion and malignant cerebral edema with increased intracranial pressure. The term "second impact syndrome" is used when diffuse cerebral swelling occurs after a second concussion, while an athlete is still symptomatic from an earlier concussion. Some have suggested a similarity with this phenomenon and the shaken baby syndrome .The second impact syndrome is a rare and somewhat controversial complication. It is unclear why this is not a more frequently reported occurrence in boxers who seem at very high risk for repeated concussions within a short time span. A 1998 review of the 17 published cases to date revealed that in 12 of these cases, there was insufficient documentation of a second impact and/or cerebral pathology such that the diagnosis of second impact syndrome seemed questionable (UpToDate Inc.)

   
 14. a

  ajabu Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wakati mwingine chuki si nzuri, mtoto wa watu Lulu anachukiwa je pengine marehemu alikuwa anataka kumfanya kitu kibaya ndo akamsukuma!? Muangalie vizuri mambo haya.
   
 15. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hapa hakuna chuki mkuu,tumejitahidi kuelezea kwanini mtikisiko wa akili hutokea,hayo mambo mengine ya Lulu na marehemu Polisi na mahakama ndio wanaolielewa.
   
Loading...