Mgao wa Umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao wa Umeme

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by fungamesa, Apr 10, 2012.

 1. f

  fungamesa Senior Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 20, 2009
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mpaka sasa hivi saa 3.47 usiku umeme ulikatika toka saa 11.00 alfajiri hakuna dalili za kurudishwa ukizingatia kuwa Maji, simu kuchajiwa, kunyoosha ngua za kazini na mboga za kwenye mafriji vyote hivyo vinategeme umeme. Maeneo yenyewe ni Mtoni Kijichi, Mbagala kuu, na Mbagala kwa ujumla. Naomba kuwasilisha kwa ushahidi wasiliana na watu wa mbagala watakujulisha hayo
   
Loading...