Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tunapenda sana udaku au magazeti ya Tanzania karibu yote ni ya kidaku?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Apr 12, 2012.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii maana yake nini kukuza mambo kiasi cha kufanya mambo ya hovyo kuwa ya maana na ya maana ya hovyo? Je taifa linapokuwa na taasisi za hovyo namna hii linaweza kusonga mbele?

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. NONGWA

  NONGWA Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  heee NI BORA gazeti langu pendwa la mwananchi,,,weka na yale ya udaku orijino weweeeee heee maneno yaliyomo ni balaa
   
 3. T

  Tejai Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wee acha tu kwani waandishi wote utafikiri mahakimu,watanzania tubadilike jamani tusihukumu mtoto wa watu tuache sheria ifuate mkondo wake tu
   
 4. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ukiuliza utaambiwa jibu jepesi tu...

  "Ndio habari zinazouza tu"
   
 5. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Bora hata headings za Tanzania Daima na Mtanzania.
   
Loading...