Dc na dso-serengeti walokamatwa wakichimba madini ndani ya serengeti national park wahamishwa vituo

Nyamemba

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
845
446
mtakumbuka kuwa hawa wakubwa walikamatwa majuzi na askali wanyama poli wakichimba dhahabu ndani ya hifadhi kinyume utaratibu,sasa hivi vigogo hawa wamehamishwa vituo vya kazi ambapo dc amepelekwa RUKWA na RSO kapelekwa MTWARA hii ndo serikali inayolinda wahalifu.source SENAPA
 
:shock:Kuna taarifa kuwa hata m/kiti CCM SERENGETI ni mmoja wao japo siku hiyo hakuwepo ktk msafara
 
Sijajua kosa lao ni nini
mtakumbuka kuwa hawa wakubwa walikamatwa majuzi na askali wanyama poli wakichimba dhahabu ndani ya hifadhi kinyume utaratibu,sasa hivi vigogo hawa wamehamishwa vituo vya kazi ambapo dc amepelekwa RUKWA na RSO kapelekwa MTWARA hii ndo serikali inayolinda wahalifu.source SENAPA
 
Kichefuchefu! yaleyale ya enzi zile! mtu anaharibu NDL anapelekwa RTC!!labda ndio ujasiriamali mpya wa wateule wetu!!!!

Hayahaya ndiyo yaliyotufikisha hapa tulipo hii leo, Ndio maana haishangazi kuona Tanesco wanatumia mafuta kutoka nje kwa majenereta yao badala ya gesi asilia inayopatikana hapa nchini!!
Hii ndio Tanzania Inayojengwa na wenye MIOYO na kuliwa na wenye MENO!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom