waTz Nje ya Tanzania na mchakato wa katiba mpya

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Habari zetu wana Jf
Nadhani kila mtu anaelewa kuwa mda si mrefu tunaelekea kutoa maoni juu ya Katiba mpya

Lakini ktk mchakato huu sijaona kipengere ktk sheria kinacho ruhusu wafanyakkazi wa balozi za tanzania nje ya nchi,wanafunzi na hata wafanyabiashara kupewa nafasi ya kikatiba ili nao waweze kushiriki ktk kutoa maoni yao

Nimelisema hili baada ya kuona kuwa upo uwezekano mkubwa sana wa kupata maoni mazuri kutoka kwa kada tajwa hapo juu.

Mwenye kuelewa vyema jinsi utaratibu utakavyo kuwa atuhabarishe

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom