Je umekumbana na adha gani tishio la tsunami? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je umekumbana na adha gani tishio la tsunami?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by TWIZAMALLYA, Apr 12, 2012.

 1. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Binafsi nilitoka city centre saa kumi nikapitia baharini maana nilipata taarifa kuwa ndiyo njia pekee iliyokuwa afadhali kwani ilikuwa inatembea kidogo.kufika maeneo ya Aghakhani njia ikawa haiendi kabisa mpaka saa moja inafika niko mitaa ya courtyard,nikajua ndo mwisho wangu lakini sikukimbia gari.
   
 2. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Jana was a wasted day kwangu kuanzia saa nane mvua ilipoanza na alerts zilipokua zinaongezeka

  Tuna shida kubwa ya infrastructure hasa barabara
   
 3. MANI

  MANI Platinum Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Watu wengi sana haswa morogoro rd na kilwa rd walitembea kwa miguu inahaitajika juhudi za dhati kuimarisha miundombinu.
   
 4. bombu

  bombu JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 1,134
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  mie nimepata adha ya kuondoka mapema ofisini, huwa sipendi kupita mtaani kwetu kabla giza halijaingia, lol
  Nliilaani Tsunami, kwani Boss alifunga ofisi na wote tukaambiwa tuondoke.
   
Loading...