Pamoja na Mkwara woote wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha ..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pamoja na Mkwara woote wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha .....

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpinga shetani, Apr 12, 2012.

 1. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  .... Jamaa kaja Arusha kapiga mikwara na kutishia kuwafukuza kazi wafanyakazi wazembe palee Manispaa lakini guess what?

  Magessa Mulongo, RC wa Arusha amempachika mkewe pale manispaa ile awe PS wa Mkurugenzi wa jiji.

  Naam sasa hakuna tena ufuatiliwaji wala ufukuzwaji kazi wa mtu yeyote pale Municipal Council .... Rejoice every body who works there but for the rest of you ..... cry for beloved country
   
 2. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Jino kwa jino .Hivi vyeo vya ukuu wa Mkoa / Wilaya havina faida yoyote ,ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi
   
Loading...