Anywa sumu ya panya kwa sababu ya Kanumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anywa sumu ya panya kwa sababu ya Kanumba

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baby shangazi, Apr 12, 2012.

 1. B

  Baby shangazi Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dada mmoja aitwae Mariam Elias mkazi wa Misugusugu Pwani amenusurika kufa baada ya kunywa sumu ya panya kufuatia uchungu wa kifo cha Kanumba. Dada huyo amedai kuhuzunishwa sana na kifo hcho kwan alikua shabiki wake mkubwa hivyo akaamua kunywa sumu hiyo ili naye afe tu. Sasa hivi amelazwa hospitali ya Tumbi.
  Source: ITV - Habari za saa muda mfupi uliopita
   
 2. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Ukichaa sio mpaka uokote makopo
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli kweli..
   
 4. B

  Baby shangazi Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  uchungu wa msanii!
   
 5. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  huo ni ujumbe kwa Lulu kuwa hata kama atakuwa free inatupasa tumpe ulinzi wa kutosha,maana hasira hizi zitakuwepo daima
   
 6. SR senior

  SR senior JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 342
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  ...pumba***
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hali ngumu ya maisha inafanya watu wasijali kabisa uhai wao. Kazi ya Magamba hii.
   
 8. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Yaani anaoa uchungu kwa mtu asiyemjua anasahau shida na majonzi atakayowaachia ndugu na jamaa zake..., sio kichaa tu bali ni selfish pia, hawa ndio wanaomaliza oxygen ya bure, na kupoteza muda wa madaktari kuhudumia wagonjwa wanaohitaji msaada.
   
 9. B

  Baby shangazi Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi umenchekesha et magamba! Wamemuonesha analia mpaka basi
   
 10. B

  Baby shangazi Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tena sio kazi ndogo, Mungu atuepushe na mawazo mabaya.
   
 11. javascript

  javascript Senior Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ukishasema pwani....
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Nilisikia asubuhi kwenye kipindi cha magazeti.
   
 13. s

  sawabho JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Makubwa !!! Ngoma imemharibu huyo, yaani afe kwa sababu ya mtu ambaye hajawahi hata kusalimiana naye kwa sauti, achilia mbali kumshika mkono !!!
   
 14. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mhhh hata kama ni hisia hii sasa imezidi jamani
   
 15. S

  SI unit JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  ITV wanaleta newz ambayo imesha'expire'?lol
   
 16. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  ...labda nae alitaka umaarufu. Wamwache afe tu, ni haki yake.
   
 17. B

  Baby shangazi Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kunan huko mmh?
   
 18. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Nyerere alishasema Ujinga ni mzigo.Ni kweeeli kabisa..amekunywa sumu kwa sababu ana mzigo.Nyumbani hata akifa mtu wa ivyo ni lazima achalazwe bakora hata kama ni maiti.
   
 19. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  .....hahahaahahahahahaa...
   
 20. B

  Baby shangazi Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mie simo
   
Loading...