Gavana wetu shopping Lauer's Maryland nchini Marekani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gavana wetu shopping Lauer's Maryland nchini Marekani.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, Apr 12, 2012.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]


  Wadau ndo msemo duniani wawili wawili? Au ni serikali yetu inamuacha huko raia wa Marekani katuibia kakimbia?


   
 2. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,285
  Likes Received: 807
  Trophy Points: 280
  Huko anaitwa David Birlel Gavana wenu Marehemu aliitwa Daud Balali
  Hebu mtumienuu mke wake approve km zile tatoo ni za mumewe kweli akinyamaza tumeliwa
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa siku kweli itajulikana na napenda kweli ijulikane kabla ya 2015 maana Membe alijiapiza kwamba kama ikigundulika kuwa Balal hajafa basi atajiuzuru!
   
 4. k

  kilochindi Member

  #4
  Apr 13, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna gazeti moja jumanne ya wika hii lilitoa front page kuwa akaunti zake marekani zinafanya kazi sasa cjui nani anae zirun! kweli tanzania ya nkwere hamnazo, yawezekana analinda maslah ya bush na dhahabu zetu, nkwere na ufisadi wake, mkapa,,,,,,,, ndio mana nae analindwa lol
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 711
  Trophy Points: 280
  nani aliwaambia balali kafa?...jalibuni kupm kwa huyu member de'levis huyu anajua kila kitu juu ya balali....wanakula nae bata sana
   
 6. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #6
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Acha chuki binafsi juu ya marehemu, tueleze alikuibia nini, wewe unaamua kusindikiza uongo wa watu wenye maslah?!
   
Loading...