RAI la alhamisi hii lakonga nyoyo za watanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

RAI la alhamisi hii lakonga nyoyo za watanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by zamlock, Apr 12, 2012.

 1. z

  zamlock JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  watanzania na wapenda mabadiliko naomba niseme hili gazeti ni mali ya rostam aziz lakini limekuwa mstari wa mbele hivi karibuni kukiponda chama cha mapinduzi kwa mfano mzuri ni toleo la leo linazungumzia anguko la ccm tiba yatajwa na wamejaribu kuelezea makundi sita ndani ya chama cha ccm ni vitu ambavyo ukivisoma unaona wazi RAI limebadilika au uenda rostam aziz ameamua kufanya biashara na kuandika ukweli uliopo ili magazeti yake yanunuliwe pia kuna makala ingine ambayo nimeipenda inayozungumzia lusinde akamatwe ahojiwe na swala zima linalo husu matusi aliy yatoa wakati wa kampeni kwa kweli nawapongeza sana gazeti la RAI mbadilike na muwe wawazi kuandika habari za kweli msiandike habari kwa kuwasafisha watu ili waonekane wasafi kwenye jamii,
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Ni vigumu sana kwa mfa maji kutotapatapa
   
 3. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu leo umelisifia na kesho likija na habari za upande wa pili ambazo ni za kweli, pia naomba ulisifie.
   
 4. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nguvu ya Soda
   
 5. Mlingwa

  Mlingwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 382
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtu akiandika au kusema jambo la kheri na la ukweli; na apewe sitahiki zake.
   
 6. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kelele za inzi ,,,malizieni wnyw!
   
 7. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,217
  Likes Received: 1,270
  Trophy Points: 280
  Moto wa mageuz umeanza kuwachoma tuendelee mpaka 2015
   
Loading...