Trafiki wa kike Arusha atuhumiwa kufuga misukule nyumbani kwake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Trafiki wa kike Arusha atuhumiwa kufuga misukule nyumbani kwake

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Arusha Leo, Apr 12, 2012.

 1. A

  Arusha Leo Senior Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Trafiki mmoja wa kike , koplo Modester Kachichi anatuhumiwa kufuga misukule nyumbani kwake eneo la kwa Mromboo jijini Arusha.

  [/FONT]

  [FONT=&quot]Shutuma hizo nzito zimetolewa na msichana Johari Abdalah(20)mkazi wa kijenge jijini hapa,ambaye amenusilika kuchukuliwa msukule na askari huyo baada ya kufanikiwa kumwingiza nyumbani kwake kimiujiza na kuishi nae kwa muda wa siku tano bila kujijua huku akiwalisha nyama za watu na kuwanywesha maji machafu na damu.[/FONT]  [FONT=&quot]Akisimulia zaidi jinsi askari huyo alivyomchukua kimiujiza , alidai kuwa trafiki huyo alimtumia rafiki yake aliyemtaja kwa jina la Mama Vick ambaye ni mkazi wa kijenge,ambapo alimfuata na kumwomba amsindikize mjini lakini walipofika eneo Fulani alimwambia asimame na afumbe macho.[/FONT]
   
 2. Okuberwa

  Okuberwa Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Is the source reliable?
   
 3. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 1,275
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  kazi ipo
   
 4. l

  lumimwandelile Senior Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 152
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  hadith njoo, uwongo njoo, utamu koleaaaaa
   
 5. pepim

  pepim JF-Expert Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwambie ahamie shinyanga watu kama yeye wanafaa sana huko.
   
 6. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tehe tehe tehe,
   
 7. paty

  paty JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,251
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
 8. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ehee alipofumba macho kikaendelea nini? Eleza bana
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh_puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuf!
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwa vile haina source au?
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni ya kusadikikama ama niya ukweli? Mbona source haujatupatia?
   
 12. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #12
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  hadithi za pwagu na pwaguzi!
   
 13. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Kaazi kweeli kweeli !Ebu tupate source.Mi nackitika kwa sababu ni Trafic
   
 14. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sasa nae kwa nini alifumba macho bila kupewa sababu!
  Hayo mambo yapo sana
   
 15. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 508
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hadithi za alinacha au kuna kawivu fulani kutokana maendeleo yake,waswazi bana ni noma wakitaka kukuzima kimaisha watakupakazia jambo unuke vibaya mtaani.
  huyu ni lazima anavuta mkwanja sana Road ndio chanzo cha habari.
   
 16. M

  Mbozib JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Inawezekana huyu trafik anaroho mbaya sana,akikuomba lift ukimpakia tu anasema amekukamata anakupeleka police.
   
 17. w

  warumu Member

  #17
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kudadeki!!!!!!!!
  Ngimwichii nampa live nikimkuta rodin ana roho mbaya Sana huyu mwanamke@@@@kz!!!!!!!!,'''''''
   
 18. PastorPetro

  PastorPetro Senior Member

  #18
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 187
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ushoga huo hakuna cha misukule. Yule msichana alipojua kagundulika ni shoga ndio kaamua kusema hivyo!:kev:
   
 19. w

  warumu Member

  #19
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unaonekana wewe naye mna ushirikiano kwenye hio midudu! Na mkome she---------------------type!
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,127
  Trophy Points: 280
  Hii habari ina ukweli? Tupe source...
   
Loading...