Renatus mkinga ndani ya malumbano ya hoja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Renatus mkinga ndani ya malumbano ya hoja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gwaks makono, Apr 12, 2012.

 1. G

  Gwaks makono Senior Member

  #1
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwanaharakati mkinga ndan ya itv live katika mada ya kudhibiti wahamiaji haram jamaa yuko deep kuliko maafisa uhamiaji je alishawahi kuwa afisa uhamiaji?
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Comrade huyu bwana alishawahi kuwa afisa uhamiaji na alifukuzwa kazi akiwa nje ya ya nchi kwa safari ya kikazi kwa kuchomekewa baada ya kumnyima gabachori passport,na alipofika airpot tu akakabidhiwa barua ya kufukuzwa kazi.thanx kwa kunukumbusha juu ya kipindi hiki
   
 3. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Amepona, maana nilisijkia amelazwa muhimbili muda kidogo!
   
 4. G

  Gwaks makono Senior Member

  #4
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  akhsante sana gwankaja kwa taarifa nzuri much thanx!!
   
 5. G

  Gwaks makono Senior Member

  #5
  Apr 12, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  atakuwa amepona lakn inaonekana bdo kidogo maana anatoka jasho sana!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbe walimtimua job ana haki!
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  huyu jamaa aliyevaa kombat ya cdm naona anajifanyia promo ya kweli
   
 8. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa yuko strong sana kwenye hoja zake, in short namkubali saana!
   
 9. The Listener

  The Listener JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 977
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  Huyu Bwana anatisha na presentation approach yake utapenda kumsikiliza tu. Yaani hoja zake anaziwakilisha kwa uchungu toka moyoni
   
 10. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #10
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Vichwa kama ivi vinakosa kwenye baraza la mawazri unategemea nn?Namkumbuka Sana mda fulani tulikuwa tumegoma na tumefukuzwa chuo!Ni mtata in short.
   
 11. T

  Thomas j. Lima Member

  #11
  Apr 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu jamaa huwa anajianda kabla na hii ndo inavyotakiwa sio unakurupuka tu unakaa kwenye TV ilihali huna uelkewa mpana wa mada iliyopo mezani. Big up mnyarukolo
   
 12. G

  Gwaks makono Senior Member

  #12
  Apr 13, 2012
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwan jamaa ni mnyarukolo?
   
Loading...