Rejao et al...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
...naomba munijibu swali hili nitakalowauliza sasa hivi toka mioyoni mwenu honestly:

Ni sahihi Kikwete kuhudhuria mazishi ya Kanumba (na kutoa "ubani") na asitoe hata 5% ya heshima ya namna hiyo kwa General Kyaro?
 
Ni sahihi kwa % ya uhudhuriaji kutegemeana na Ratiba zake za msingi atakazo kua nazo lkn tofauti na hapo basi si sahihi; Salam za pole alizitoa, lkn pia kwa maziko ni mapema kulisemea kwa maana siku husika bado tusije kurupuka, hebu tulipe muda"
 
...naomba munijibu swali hili nitakalowauliza sasa hivi toka mioyoni mwenu honestly:

Ni sahihi Kikwete kuhudhuria mazishi ya Kanumba (na kutoa "ubani") na asitoe hata 5% ya heshima ya namna hiyo kwa General Kyaro?

Kuwa mpole!
Ule msiba ni jina tu! Mtandao mkubwa ule!
Ni MUNGU mwenyewe akasimame na awape watu wake nafasi ya kutoa shuhuda!
Piga kimya utasikia mengi sana kuhusu huo msiba!

Baki na IMANI yako Kiongozi wangu!
Duniani kuna mambo!
 
Mods, naomba utoe huu upuuzi..
Watu kama hawa ndio wanaotujazia server kwa thread zisizo na kichwa wala miguu.
 
Si kila kikwete atachofanya ujue wewe au imekuwa kosa kujua wewe kuwa kikwete katoa msaada wa mil 10 kwa kanumba unataka kuwa msemaji wa familia ya general kyaro nenda kawaulize basi kikwete kafanya nn na mazishi yake yatawakilishwa na kiongozi gani serikalini halafu uje utujuze naona limekuuma
 
Mods, naomba utoe huu upuuzi..
Watu kama hawa ndio wanaotujazia server kwa thread zisizo na kichwa wala miguu.

No wonder wewe ni gamba!

Btw: Watu wanaposema ili mtu awe na moyo wa kuitetea ccm hii ni lazima ama awe:
(a): ananufaika na hali iliyopo
au
(b): Awe zezeta.

Rejao atakuwa ni combination of the two!
 
Haya sasa Boc kubwa anaenda kumzika Kyaro, hebu edt hii thread yako isomeke kuwa kaamua kwenda baada ya JF kuiandika sana"

source:Radio Free
 
Mods, naomba utoe huu upuuzi..
Watu kama hawa ndio wanaotujazia server kwa thread zisizo na kichwa wala miguu.

thanx Rejao! Angeweza kukupm na kupata majibu yake. Unless you didnt respond. Otherwise she is wrong and your comment is right!
 
No wonder wewe ni gamba!

Btw: Watu wanaposema ili mtu awe na moyo wa kuitetea ccm hii ni lazima ama awe:
(a): ananufaika na hali iliyopo
au
(b): Awe zezeta.

Rejao atakuwa ni combination of the two!
Endelea tu kupata maumivu....mimi mambo yangu shwari, sina presha yoyote. Naijenga nchi yangu kwa amani!
Hata ukiita zezeta, nanufaika nayo yote kwangu hayana msingi wowote! :A S-cry::blah::gossip:
 
tupa kule Rejao...wanataka kujebga umaarufu kupitia ww...freak!...

Hakuna sentensi itakayoleta sense kama contents zake zitahusisha "Rejao" na "umaarufu" (unless una maana ya irrationality).
 
kwa akili yako hapo unaona kuna hoja?

eh! nimekua bizeee hata sijafatilia mazishi ya huyu IGP mstaafu!!
naanza kupata shaka kuhusu uhusiano uliopo kati ya itikadi ya marehemu na itikadi ya mkulu....!
Ngoja tusubiri tutasikia mengi tu
 
Back
Top Bottom