Mtoto wa Yusuph Makamba Jela kwa Wizi wa Mbegu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa Yusuph Makamba Jela kwa Wizi wa Mbegu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tusker Bariiiidi, Apr 15, 2012.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mtoto wa Yusuph Makamba ajulikanaye kama Amani Makamba,amefungwa Jela miezi 6 kwa tuhuma za kujipatia Mbegu za Mahindi zenye thamani ya Millioni 2.6. Mtuhumiwa ametiwa hatiani tarehe 5/4/2012 baada ya kujipatia mbegu hizo kutoka kwa Wakal wa pembejeo za kilimo Lipambikayika Agrovet Songea Ruvuma.

  Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Gaitan Ngasapa.

  MY TAKE; Ndio tatizo la Viongozi wetu kuzaa watoto na kuwatelekeza. Januari na Mwamvita mdogo wenu huyo...
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,971
  Likes Received: 1,860
  Trophy Points: 280
  hii thread ilipaswa january aisom sasa hivi. hawa wazee huwa wanaona sifa kuzaa hovyo
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  duh. . . .. . !
   
 4. Moshe Dayan

  Moshe Dayan JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Feb 10, 2008
  Messages: 811
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  kipindi ni rc dsm, alikua hakosi makonde upande wa juu karb na baraza,,, ndo alikua anaishi kule au mambo yetu?
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,501
  Likes Received: 5,728
  Trophy Points: 280
  Nafikiri tusishabikie sana esp kama bado una mbegu za uzazi....jitahdi kumwombea abadilike akitoka
   
 6. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Well said P.Diddy.
   
 7. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Sishabikii ila najaribu kuonyesha picha nyingine ya Yusuph Makamba,ambaye anajivunia mafanikio ya Watoto wake wakati mwingine akisota Mtaani mpaka inapelekea kuwa tapeli,Mimi mwenyewe amenikosa kosa akinikopesha Laki nampa Elfu kumi/Ishirini namwambia hiyo simdai. January upo???
   
 8. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wabongo kilamtu anataka kuwa tajiri bila kufanya kazi
   
 9. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Huyu akichukuliwa na mwammy au january lazima atawaliza tu mwache aende correctional department
   
 11. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,501
  Likes Received: 5,728
  Trophy Points: 280
  ni kweli MKUU
  NI BABA WA MTOTO MMOJA WA KIKE NA MTOTO WA PILI WA KIUME MUNGU AKIPENDA MWISHO WAMWEZI
  NAJUA KAMA MZAZI MAKAMBA ANAITAJI KUJIPROUD NA WATOTO WAKE PAMOJA NAHAYO LAZIMA UJUE SIO WATOTO WOTE WATAKUWA SAWA ..NDIO MAANA NIMERUDIA TENA USISHABIKIE SANA SANA KAMA BADO UNA MBEGU ZA UZAZ UNLESS UMEAMBIWA POVU ZINATOKA UNA HAKI YA KUENDELEA NA MADA BINAFSI NINA MTOT NAITAJI KUONA WATOTO WA WENZANGU WAKIFANIKIWA MUNGU AMFANIKISHE WANGU HATA KAMA SITOKUWAPO
   
 12. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,223
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo una sema Janury kazaa ovyoZ au sijakuelewa?!, kama huyu ni mtoto wa january, ana umri gani?!, inaonesha wewe unaugonvi na januari lakini nadhani umekosea njia.
   
 13. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Yule shemeji yake mzungu aliyechangia dola milioni moja kwenye kampeni za ubunge wa january makamba kashindwa kumsaidia mpaka anakuwa tapeli wa vihela vidogo vidogo kama kama hivi!!!!
   
 14. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Tutamtafuta January hata kwenye Facebook akamtoe mdogo wake jela nakumbuka sana alipoleta hoja binafsi ya wenye nyumba za kupanga
  Sasa mdogo wake akitoka ajibidiishe waache utapeli
   
 15. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Mwamvita ni dada yake.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haujaeleweka hapo,inakuaje yeye akukopeshe laki halafu wewe umpe 10/20k halafu useme haumdai?? Ufafanuzi hapo
   
 17. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #17
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyu ndio atakuwa yule mtoto ambaye makamba alizaa na mwanafunzi wake kipindi kile anafanya kazi ya uticha.
   
 18. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Kimjini-mjini Mtu akikuomba umkompeshe Laki unampotezea kwa kumpa Elfu kumi kisha unamwambia kaa nayo siitaji urudishe.
   
 19. M

  MR.SILVER JF-Expert Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtini ahahaaaaaaa I remember the place
   
 20. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  duuuh ! Jambo limezua jambo, maumivu ya kichwa huanza pole pole..........!
   
Loading...