Wacha nife masikini

Wacha nife masikini

Kifulambute

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
2,539
Reaction score
764
maisha yangu siwezi kuwa askari wa jeshi lolote bora niwe mkulima wa ndengu kuliko kumwabudu, kumgeshim kiongozi fulani kuliko hata mungu? wacha nife masikini bwana
 
Naunga mkono hoja,ukiona mwanajeshi kafanikiwa basi ujue ni ofisa halafu yupo ktk issue za kupiga na kama ana cheo cha kawaida basi ujue ni jambazi.
 
Naunga mkono hoja,ukiona mwanajeshi kafanikiwa basi ujue ni ofisa halafu yupo ktk issue za kupiga na kama ana cheo cha kawaida basi ujue ni jambazi.
Mpumbavu anapokaa kimya huhesabiwa kuwa mwenye hekima.
 
Mkuu watakuja wenyewe,sasa uwe tayari kujibu hoja.
 
Maisha ni kama A mpaka Z kwenye mfumo wa alfabeti.
 
accordng to plato, watu wamegawanyika ktk makundi matatu golden, silver na iron....waacheni iron boy wafanye kazi!!!?
 
Back
Top Bottom