naombeni ushauri wana JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naombeni ushauri wana JF

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by gfsonwin, Apr 17, 2012.

 1. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  Wana jf naombeni ushauri jamani, kama nilivyowaambia jana kuwa nimejifungua jana mtoto wa kiume kwenye thre yangu, nashukuru sana kwa wote walionitumia salam za pongezi , nasema tu mbarikiwe sana. sasa leo nakuja na ishu hii naomba ushauri jamani.

  leo mchana nitakuwa nitaruhusiwa kurudi nyumbani kwania hali yangu na mtoto ni nzuri kabisa, ila napata utata sijui nikifika nyumbani wanangu wengine nitafanyaje.

  ninao watoto wawili tayari na huyu ni wa tatu sasa nilishazoea sana kulala pamoja na wanangu, na huwez kuamini jinsi ambavyo wako karibu na mimi sasa leo hii naenda na kichanga na kulala nao siwez tena,je nitawatoaje chumbani kwangu ili wasione kuwa nimewabagua? swali la pili nifanyeje ili hawa wakubwa manake wanauwezo wa kugundua mambo kwa sasa wasione kama nampendelea huyu mdogo? nauliza kwani jana baba yao alinunua zawadi za mtoto mdogo walimfurahia sana kwani walijua ni za kwao, sasa walipoambiwa kuwa ni za mtoto mpya anakuja na mama kesho(leo) walikwazika sana wakasema mbona wao hawapendwi tena kama huyu mpya. na walidiriki kusema sisi tutampiga huyu labda mama asimlete. jamani nimejikuta nakosa raha sana sijui tulikosea wapi na kwasasa turekebishe vipi.

  call me mama triple'G'
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Hongera sana besti
  ushauri mi nitakupa baadae
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Ila mzazi wewe upo busy sana na jf sijui unanyonyesha saa ngapi....
   
 4. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  ahsante sana smile.
   
 5. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  once uko hosp. huna kazi ya kufanya zaidi ya kuviruhusu vidole kuongea. infact nimeifanya iwe close partner ili pakuche si unajua hos panaboa? mtoto ananyonya kila aamkapo.
   
 6. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mmmmhhh job true true jiandae kumrudisha huyo mtoto kwao ulipomchukulia..
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  langu jicho dole gumba na keypads za simu yangu..
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Waambie na wao wakamuokote jalalani.
   
 9. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #9
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,460
  Likes Received: 3,715
  Trophy Points: 280
  hongera mama 3G
   
 10. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  nikiwaambia hivyo ndio hasira zao zitaisha?
   
 11. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #11
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hongera mwaya..ukifika waeleze vzur kwa upole n smile nzur,af uwambie uyu mdogo amechoma cndano na yupo kwenye dose,af doc amesema alale nawewe kama week,then after week,kamba tena
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Apr 17, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ehh nachelea kusema umezaa ungali bado aujamature.


  sasa apo shida nin?unashindwa nin kuwaeleza watoto wako?
  ulikuwa unalala nao wote wawili na baba yao kitanda kimoja?sipatii picha wakat mnamtafuta uyo mpya ilikuwaje.....waeleweshe wataelewa dada ayo maneno ni maneno tu yakitoto hasa fear ya kupoteza concern nacare za mama
   
 13. A

  Amelie Senior Member

  #13
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana,mlitakiwa pia muwajulishe watoto kuwa wanaelekea kupata mdogo wao.Kwa sasa muwaambie tu kuwa huyo mdogo wao hawezi kuchukua nafasi yao kama watoto,maana kila mtoto ana haki sawa kwa wazazi wake,muwaambie huyo mdogo anahitaji attention zaidi kuliko wao maana anahitaji kukua kama wao,tell them,they were babies just like him.
   
 14. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,859
  Trophy Points: 280
  sina maana kuwa sijamature au nawaogopa wanangu, what I believe kila siku mtu huwa anakosea na kila siku huwa anajifunza jambo jipya. Mimi nimeuliza ili kujifunza na kupata experience ya wenzangu.
   
 15. A

  Amelie Senior Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusidanganye watoto,si vizuri kuwafundisha mauongo watoto,they need the truth for them to be free
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kweli besti am so happy for u. huwa nakufurahia sana hapa jf . mimi siku nikijifungua nitakuwa naposti kila kitu humu sema uvivu uache hii kitu usifanye[​IMG]
   
Loading...