Mh.majaliwa chukua hatua halmashauri ya Urambo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh.majaliwa chukua hatua halmashauri ya Urambo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MotoYaMbongo, Mar 29, 2012.

 1. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Umeyakuta madudu mengi sana sekta ya elimu katika ziara yako, moja ni ucheleweshaji wa kupanda vyeo walimu na kutozingatia uzoefu kazini-Seniority, pia walimu kutozwa pesa za vitambulisho na Afisa utumishi aitwae Maganga tena vitambulisho vinatolewa mtaani (stationary) kwa Bulole, na matusi kutukanwa Bomani walimu wanapoenda kuhitaji huduma, Mheshimiwa naibu waziri, ili walimu wa Urambo wawe na imani na wewe chukua hatua na uache kulinda mtu, kumbukeni Serikali ya CCM imeshapoteza mvuto sasa jaribuni angalau kurekebisha hata machache.

  Walimu wameshachoka kunyanyaswa na watendaji wabovu. Usipochukua hatua stahiki basi na wewe utakuwa kundi hilo hilo la wababaishaji na walinda waovu.
   
 2. FKM

  FKM Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu, si mara ya kwanza TZ hii kwa viongozi ngazi za juu kukata uozo wafanyapo zira mikoani na walayani, cha kushangaza ni jambo la kawaida uozo huo kufumbiwa macho na kutafisiriwa kama bahati mbaya.

  mkuu tatizo siasa zimezidi sana nchi hii kuliko uwajibikaji. tusibiri tuone maana yetu macho na masikio.
   
 3. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Hakuna lolote atakaloweza kulifanya huyo Majaliwa kwani aliwahi kuwa mkuu wa wilaya hiyo sio muda mrefu uliopita na hayo matatizo yalikuwepo; na hakuona umuhimu wa kuyashughulikia. Huyo Bulole wanashirikiana naye kula hizo fedha za vitambulisho na wakubwa; na DED anajua kwani kamuachia saini yake na ukiitaka saini ya DED Urambo utaipata kwa Bulole any time. Mpango mzima unajulikana kitambo na huyo Majaliwa anaujua fika so don't expect any miracle from him.
   
 4. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Kimburu unachosema ni kweli kabisa, isipokuwa lazima tuyaweke hadharani yajulikane! Huyo Afisa Utumishi Malaya aitwae Maganga alikuwa mwalimu Uyui Secondary kasota sana Tabora, Kaja kubebwa na KAPUYA akapewa huo uafisa leo amesahau na kuanza kunyanyasa walimu hasa wa kike.

  Yani ngono sana anafanyia hadi porini ndani ya gari lake, kwa kweli asipoondolewa itabidi wananchi hasa wenyeji wafanye namna. Mdhalilishaji sana na mfujaji na mbinafsi sana huyu jamaa.

  Hafai kutumikia ofisi ya umma huyu kahaba wa kiume. Mawaziri wenye dhamana tembeleeni halmashauri ya wilaya ya Urambo angalau muwapunguzie machungu watumishi wanadhalilishwa sana na huyo Afisa. Labda anaeneza UKIMWI hatuwezi jua. Ataua sana walimu wa kike huyu jamaa kama atakuwa ana gonjwa hatari. Mtu hatari sana huyu.
   
 5. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #5
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yenu ni kwamba mimi Bulole Bukombe ninafanyabiashara, mtu yeyote atakayekuja kwangu kuhitaji huduma yoyote nitamdai kulingana na huduma anayoitaka bila kujali katoka Halmashauri au la, sasa kwa tatizo lenu nyote mlioandika hapa naona wote hamjui sheria za kazi nani anatakiwa awape vitambulisho kwa kutojua kwenu mtaandika unafiki bila kujua nini kifanyike ili mtatue tatizo lenu. Kasomeni sheria za kazi msihangaike na bulole, mimi atakayekuja kwangu lazima atalipa vile ninavyotaka bila kujali ni nani na katoka wapi anayeona anaonewa aende mahakamani kunishitaki na siyo kuandika majungu kwenye JF, kwa kutumia majina ya bandia mnapata taabu bure na matatizo yenu yataendelea kuwepo kwa kuwa ufumbuzi wake haupatikani JF.

  KWA NINI MNATAENGENEZA VITAMBULISHO KWA BULOLE: Mnatengeneza vitambulisho kwa bulole kwa sababu ndiye mtaalam pekee wa vitambulisho katika Kanda ya magharibi na hao waliopo wanaiga tu na si kwa ubora kama wa kwangu wenyewe mnalijua hilo, kwa uthibitisho tafuteni ofisi yeyote mkoani ambayo inatengeneza vitambulisho kama vya kwa bulole, atakayepatikana atawaambia anapeleka MZA na hawezi kutengeneza palepale kama kwa bulole. Ni utalaam wangu ndiyo uliofanya niwatengenezee vitambulisho vyenu. ZADI YA YOTE NIMEANZA KUTENGENEZA VITAMBULISHO VYA WILAYA YENU TOKA 1999 KWA MKURUGENZI KUWALIPIA WAFANYAKAZI WAKE ILIKUWAJE MPAKA MKAWA MNAJILIPIA, HIYO SIYO JUU YANGU KUJUA NINACHOTAKA NI PESA NANI KALIPA KALIPIWA NA NANI MIMI HAINIHUSU KABISA.
   
 6. j

  jumys5 New Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna lolote atakaloweza kulifanya huyo Majaliwa kwani aliwahi kuwa mkuu wa wilaya hiyo sio muda mrefu uliopita na hayo matatizo yalikuwepo; na hakuona umuhimu wa kuyashughulikia. Huyo Bulole wanashirikiana naye kula hizo fedha za vitambulisho na wakubwa; na DED anajua kwani kamuachia saini yake na ukiitaka saini ya DED Urambo utaipata kwa Bulole any time. Mpango mzima unajulikana kitambo na huyo Majaliwa anaujua fika so don't expect any miracle from him

  Hapo kwenye red, ndugu yangu KIMBURU una uhakika nayo? fikiria kuwa unaitwa mbele ya umati wa watu kuthibitiha hayo, utaweza? kabla haujaandika kitu, nakushauri kwanza fikiria, otherwise yote hayo ni majungu tu!
   
 7. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  IMEANDIKWA UMJIBU MPUMBAVU SAMBAMBA NA UPUMBAVU WAKE ASIJEKUJIONA NI MWENYE HEKIMA MACHONI PAKE
  Wapumbavu wanajulikana tu kwa kuandika majungu mpaka unaitwa mtumishi ukaajiriwa hujui nani anatakiwa kukupa kitambulisho kwa gharama za nani?!!!!! Kama mmekosa cha kufanya acheni kuandika upuuzi humu.Mimi nafanya biashara halali uje wewe baba yako na ndugu zako huduma yoyote mtakayotaka kwangu mtailipia tu bila kujali mmetoka wapi!!! na bila kujali nani anatoa pesa kwa kuwa mmeajiriwa lakini hamjui nani asifanye nini na nani afanye nini kazi kwenu na majungu yenu. Mind that BULOLE MOBILE QUICK SERVICE PRINTERS IS NOT AND SHALL NEVER BE CHARITABLE ORGANIZATION Kuthibitisha maneno yenu ni majungu mnasema maganga anachukua pesa za vitambulisho halafu vitambulisho vinatolewa mitaani kwa bulole hivi inawezekanaje pesa achukue mwingine vitambulisho vitolewe kwa Bulole?

  Nani kati yenu wanafiki wote atakayesimama popote pale na kusema alimpa fedha ya kitambulisho Maganga halafu akaambiwa akachukue kitambulisho kwa Bulole bure? Ninani tena kati yenu mambumbumbu msiojua kitu ambaye alilipia kitambulisho kwa bulole bila kupewa risiti iliyoandikwa jina la kampuni iliyochapa kitambulisho hicho? Mnaweza kuwa na tatizo la msingi lakini kwa upuuzi wenu wa kuandika majungu hakuna atakaye wasikiliza na kuwaamini kwani yote yataonekana ni majungu. Halafu mlivyowajinga eti kiongozi mnamuwekea masharti asipofanya mtakalo basi naye ni mmoja wa wahalifu kwa mujibu wa majungu yenu, mnamlazimisha aamini na kukubali unafiki wenu. Ndiyo mlivyofundishwa hivyo jinsi ya kupeleka malalamiko kwa viongozi? Hapo hakuna cha mwalimu wala nini ujinga mtupu
   
 8. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #8

 9. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #9

  Nani kati yenu wanafiki wote atakayesimama popote pale na kusema alimpa fedha ya kitambulisho Maganga halafu akaambiwa akachukue kitambulisho kwa Bulole bure? Ninani tena kati yenu mambumbumbu msiojua kitu ambaye alilipia kitambulisho kwa bulole bila kupewa risiti iliyoandikwa jina la kampuni iliyochapa kitambulisho hicho? Mnaweza kuwa na tatizo la msingi lakini kwa upuuzi wenu wa kuandika majungu hakuna atakaye wasikiliza na kuwaamini kwani yote yataonekana ni majungu.
   
 10. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #10
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  IMEANDIKWA UMJIBU MPUMBAVU SAMBAMBA NA UPUMBAVU WAKE ASIJEKUJIONA NI MWENYE HEKIMA MACHONI PAKE
  Wapumbavu wanajulikana tu kwa kuandika majungu mpaka unaitwa mtumishi ukaajiriwa hujui nani anatakiwa kukupa kitambulisho kwa gharama za nani?!!!!! Kama mmekosa cha kufanya acheni kuandika upuuzi humu.Mimi nafanya biashara halali uje wewe baba yako na ndugu zako huduma yoyote mtakayotaka kwangu mtailipia tu bila kujali mmetoka wapi!!! na bila kujali nani anatoa pesa kwa kuwa mmeajiriwa lakini hamjui nani asifanye nini na nani afanye nini kazi kwenu na majungu yenu. Mind that BULOLE MOBILE QUICK SERVICE PRINTERS IS NOT AND SHALL NEVER BE CHARITABLE ORGANIZATION Kuthibitisha maneno yenu ni majungu mnasema maganga anachukua pesa za vitambulisho halafu vitambulisho vinatolewa mitaani kwa bulole hivi inawezekanaje pesa achukue mwingine vitambulisho vitolewe kwa Bulole?

  Nani kati yenu wanafiki wote atakayesimama popote pale na kusema alimpa fedha ya kitambulisho Maganga halafu akaambiwa akachukue kitambulisho kwa Bulole bure? Ninani tena kati yenu mambumbumbu msiojua kitu ambaye alilipia kitambulisho kwa bulole bila kupewa risiti iliyoandikwa jina la kampuni iliyochapa kitambulisho hicho? Mnaweza kuwa na tatizo la msingi lakini kwa upuuzi wenu wa kuandika majungu hakuna atakaye wasikiliza na kuwaamini kwani yote yataonekana ni majungu. Halafu mlivyowajinga eti kiongozi mnamuwekea masharti asipofanya mtakalo basi naye ni mmoja wa wahalifu kwa mujibu wa majungu yenu, mnamlazimisha aamini na kukubali unafiki wenu. Ndiyo mlivyofundishwa hivyo jinsi ya kupeleka malalamiko kwa viongozi? Hapo hakuna cha mwalimu wala nini ujinga mtupu.
   
 11. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #11

Loading...