Hii ikoje???????????

grndossy

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
311
80
mind_blowing_facts_15.jpg Naleta hii changamoto wakuu, ina ukweli kiasi gani?
 
Hii ni kweli kabisa kwenye inchi za wenzetu wanatumia technology ya kuchuja maji taka na kuyatumia tena.
 
Teh teh, ni ukweli mtupu mkuu. Kinachotakiwa ni technology itakayotuwezesha kupata maji salama. Wenzetu hili swala wamelipa kipaumbele sana kiafya. Tanzania bado na watu wanajisifu kwa miaka 50 teh teh..
 
Kweli kabisa, na kwamba duniani maji hayaongezi wala kupungua. yanazunguka tu.
 
mungu alishaumba maji siku nyingi hajawahi kuumba tena
ni kama cycle.evaporation, condensation saturation kama sijasahau jiografia yangu.
 
Back
Top Bottom