Kampuni za simu zinatuibia makusudi au?

Tanzania Mpya

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
253
144
Siwaelewi hawa jamaa wa simu, wanatula hela kwa wizi. Kuna wakati tigo wanatoa ofa ya muda wa maongezi lakini ukipiga simu wanakukata tu kama kawaidia. Airtel nao wana utaratibu wa JIRUSHE, yaani ukijiunga na utaratibu huo wanakukata Sh.400/- ili utume SMS bure siku nzima. Lakini mara nyingine wanakata kila SMS bila kujali kwamba walishachukua 400 mapema. Naona kama vile hawa jamaa wanaiba makusudi sijui? Nani ana experience na mambo haya?
 
Mimi tigo ndio wananichosha zaidi,maana ukiweka tu moderm wanakuunganisha na kifurushi cha light day,sasa sijui inakuwaje.
 
Back
Top Bottom