UNAFIKI NA UZANDIKI WA MEDIA ZETU: RIP Kanumba na Katiba MPYA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UNAFIKI NA UZANDIKI WA MEDIA ZETU: RIP Kanumba na Katiba MPYA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kachanchabuseta, Apr 10, 2012.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Inasikitisha sana kuona Media zetu zinakuwa na unafiki wa kuleta habari kwa watanzania
  muda si mrefu tutaanza kutoa maoni juu na katiba yetu ili kupata tanzania tunayoitaka

  1. Juzi tarehe 7.04.2012 baada ya kifo cha kanumba wakati nasafiri nilisikia mtangazaji wa clouds
  FM alikireport kutoka msibani sinza kwa kanumba eti anatoa number ya M-PESA ili watu wachangie
  maandalizi ya msiba (hiki kilikuwa kitendo cha kipumbafu kwa clouds FM kujinufaisha na Msiba wa marehemu)

  2. Sitoshangaa kuona hata media yeyote ikijishughulisha kuleta mikutano LIVE ya katiba mpya kama wanavyofanya
  kwa kanumba( Huu ndo Unafika wa Media zetu zikijiendesha kwa bahasha kama NUKUU ya Pasco wa JF)

  3. Leo Media Nyingi ziko busy na msiba wa kanumba na Kurusha LIVE lakini ikifika mambo yenye manufaa kwa TAIFA
  wanatupia kisogo


  RIP kanumba
  RIP katiba mpya
   
 2. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ndio media maslahi hizo ndugu, katiba nani atatoe hela sasa? tanzania itajengwa na wenye moyo
   
 3. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kaka ungesoma marketing usingeuliza ungeona ni kawaida. Ila nakushauri kama unataka kuishi zaidi usisikilize clouds kuna research inaendelea kuonesha kuwa clouds fm inapunguza life expectance ya watz,wengi wakisikiliza wanalalamika na roho zao zinawauma. usisikilize mkuu
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu nimesoma Marketing Pale UDSM najua kinachofanyika kwa media kutaka kupata wasikilizaji na wasomaji
  does this work out for governmental delegate kujipanga kwenda kwa kanumba na media zikiwa nyuma yao?

  Mimi sio msikilizaji mzuri wa clouds fm bahati mbaya nilikuwa naenda airport nikiwa kwenye Tax ndo jamaa akawa ameweka
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
 7. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,547
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 8. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Cloudz sio ya kuijadili humu ,hawa ni watu wenye tabia ambayo haifanani na utamaduni wa binadamu waliostaraabika.Wanatumia chombo chao vibaya kwa manufaa ya wachache ambao wanaamini wao ni waerevu kupita wengine.


  R.I.P Steven Kanumba
  R.I.P Katiba mpya
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  JF Bana toka Mdee atangaze kumtetea Lulu na ninyi mmeanza kumkandia kanumba na medias kanumba alikuwa ni star... alikuwa anaburudisha ile jamii yetu ya uswazi... kama hamkubali .. wapo wanaomkubali... nendeni kwake Vatican sinza pale mkaone huo umati.

  jana kabla ya msimano wa mdee na zito watu humu mlikuwa mkimsifia alikuwa ni mpiganaji kwani alikuwa na mpango wa kugombea kupitia chadema...

  msipelekwe pelekwe na wana siasa... kwani wote ni wanafki... muacheni homie kanumba apumzike salama.. huko anapokwenda
   
 10. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye RED kuna tetesi kuwa LULU alikuwa anaongea naye kabla ya......... mtayasikia
   
 12. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mkuu, usilete hii hoja wakati huu maana watz wote akili bado imepumbazika na msiba wa Kanumba. Nafikiri Watanzania wakishatuliza akili labda wataweza kutafakari juu ya walio na mawazo kama yako.

  Binafsi nilichojifunza na kuthibitisha kutokana na huu msiba na kujua vipaumbele vya Watanzania na sioni ajabu hata rais aliposema kuwa hajui ni kwa nini sisi ni masikini, ni kuwa attention yetu tulio wengi ipo kwenye mambo tuliyojionea hadi sasa.

  Kabla ya huu msiba alikufa IGP wa zamani Aaron Mahundi, alafu akafuatia Profesa muhimu wa geology pale chuo kikuu Mlimani. Wanasema (hapa jf) kuwa JK ameahirisha safari yake ya nje kwa ajili ya huu msiba. Na mengine ndio hayo uliyoleta. Nasikia hata Bungeni walisimama kumkumbuka.

  Kwa hiyo sisi kama taifa ni lazima tuwa na 'preferences' na kwa hili imeonyesha wazi ni wapi walipo wengi. Lakini tyukirudi nyuma juu ya chanzo pamoja na mazingira ya msiba wa Kanumba, ndio tujua tunarisisha nini vizazi vya sasa na vijavyo!

   
 13. K

  Kilamia Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 9, 2008
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wanachofanya baadhi ya media zetu ni biashara tu. Tunalishwa ujinga na baadhi yetu tunatafuna tu kama mazuzu. Wanataka kupanda kitu kwenye akili zetu kwamba Stephen Kanumba ni mtu muhimu mno kwa taifa (Juzi gazeti moja liliandika Taifa lasikitika...) Sometimes nakubaliana, ingawa kwa uchungu, na ule usemi kuwa tunapata tunachostahili. Napata uchungu zaidi nikifikiria kuwa media inaweza kutoa taswira ya jamii ilivyo...jamii yetu inamuona Kanumba ni muhimu sana nchini mpaka Rais akaahirisha safari ya nje ili kwenda kuhani msibani (nafahamu wametoa sahihisho leo).
   
 14. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #14
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ule uvumi ulioanza kusambaa juu ya ulaji wa pesa za michango ya rambirambi pamoja na zile za M-Pesa/Tigo Pesa mwishowe sio ajabu ukakuta hawa hawa walio 'promote' huu msiba watakuwa wanajua suala hili.

  Na kuthibitisha hili ni pale media zinapoanza kuongelea sh. 2,000,000/- zilizokuwa ndani ya nyumba ili watua wasahau kuwa mjadala upo kwenye jinsi > +50,000,000/- zilivyotumika. Kweli tz ni bongolala

   
 15. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #15
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ule uvumi ulioanza kusambaa juu ya ulaji wa pesa za michango ya rambirambi pamoja na zile za M-Pesa/Tigo Pesa mwishowe sio ajabu ukakuta hawa hawa walio 'promote' huu msiba watakuwa wanajua suala hili.

  Na kuthibitisha hili ni pale media zinapoanza kuongelea sh. 2,000,000/- zilizokuwa ndani ya nyumba ili watua wasahau kuwa mjadala upo kwenye jinsi > +50,000,000/- zilivyotumika. Kweli tz ni bongolala
   
Loading...