Waziiri Mkullo aluhusika na utapeli wa kiwanja cha serikali Nyerere road-CAG | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziiri Mkullo aluhusika na utapeli wa kiwanja cha serikali Nyerere road-CAG

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 17, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,780
  Trophy Points: 280
  Mjaa jaa na upwa hali wali mkavu
  wakati bunge la jana likiwaka moto mh zitto kabwe alisimama na kusema
  kuna wabunge wamehongwa na wengine mawaziri ili kuua chc na hivyo kuficha ubadhirifu wa fedha
  na mali zizlizouzwa bila kufwata sheria..katika muendelezo mh zitto alienda mbali kuuliza kama mh mkullo anakataa aje hapa mbele..katika hilo mh zitto alisema anaomba cag kuchunguza na kama itaonekana amekosea atakuwa wa kwanza kujiuzulu else anaomba mh mkullo nae aje mbele aape iwapo itatokea kuhongwa kwa wizara yake kuua chc atajiuzulu??mh mkulo alipinga na kuomba kuacha kutishiana hatimae

  leo yamekuwa
  cag abaini utapeli wizara ya mkullo-mwananchi news paper
  kashfa ya uuzwaji wakiwanja cha serikali no 10 kwa mohmed entrprises imemuweka njiapanda mh mkullo bada ya ripoti ya cag kuonyesha wamehusika mwanzo mwisho kwenye uuzwaji wa kiwanja hicho

  matokeo halisi yanasema ofiisi ya msajili hazina na wizara ya fedha walihusika moja kwa moja kuuza kiwanja na 10 mali ya serikali kilichopo kando ya barabara ya nyerere kilichouzwa kwa mohamed enterprises bila kuishirikisha chc wala bodi yake..cag alifafanua na kuomba kutokan na utapeli wa aina hii kwa watu binafsi akaomba serikali iamue moja ama kuyapa mitaji mashirika ya umma wajiendeleze ama wayabianfsishe mapema ikiwemo kukodisha viwanja vilivyo wazi watu wajengee wanaangalie watalipanaje kuokoa rasilimali za taifa


  mkulo na chc
  mwishoni mwa mwakajana wakati cag akiendelea na ukaguzi maalum wa uuzwaji wa kiwanja hicho na tuhuma nyingine za ufisdai mkulo aliivunja bodi ya chc ambayo ilikuwa ikisubiri ripoti ya mkaguzi

  mzingi wa uchunguzi huo ulitokana na maombi ndani ya wanabodi baada ya kuwapo hujuma katika menejiment wakishirikiana na watu wakubwa hazina na hivyo kufanya kusimamishwa kwa kaaiumu mkurugenzi wake methusela mbajo..cag walifanya uchunguzi kwa kutumia ernest & young ambayo pia ililenga kubaini tuhuma zidi ya poac inayoongozwa na zitoo kabwe...awali bodi ilikuwaimalize juni 30 mwaka jana mkulo aliiongezea hadi sec 30 na barua kwa wajumbe hao ilitumwa kwa kilamwana bodi

  hata hivyo gafla mkullo alibadilka na kumwandikia kamimu mkurugenzi mkuu wa chc awataarifu wajumbe wa bodi mwisho tar 30 jun...sehemu ya taarifa kutoka kwa mh mkullo inasema
  nimeelekezwa niwaarifu kwamba mh mkullo ametengeua maamuzi yake ya kuongzea bodi muda hadi tar 31 au rais atakapoteua mwenyekiti wa bodi hiyo..barua ilisainiwa na joji msella kwa barua hii unatakiwa kuwaandikia wanabodi wote ukiwashukuru kwa michango yao katika shirika hili..kwa barua hiyoo kaimu malosha aliwaandikia wanabodi akiwattarifu uamuzi wa mh mkullo

  hadi jana mh mkullo amekataa kuppokea kabisa simu yake na wala msg alizotumiwa akuwa tayari kuzijibu

  kwa mantiki hii inaonyesha ni jinsi ganis erikali yetu inaweza kuiba mali za wananchi kwa uamuzi wa mtu mmoja tu...kwanza ilikuwaje atangaze mbele ya bunge kuongezewa muda wa bodi hadi 30 dec arudi ofisini kwakwe na kubadilisha bila wabunge kujua ama kuwa na aarifa..imekuwa sasa bunge letu tukufu kuchezewa kama choo cha mbwa..nafikiri serikali inatakiwa kumwajibisha waziri muhuni na mshenzi kama huyu na kurudisha kiwanja hiko serikalini bila maelezo na malipo yanayotakiwa alipe mh mkullo na wale wote waliopokea ten percent kutia saini kuuzwa kwa kiwanja hiko
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hili ni kaa la moto kwa mkulo na lazima aumbuke huyu mwehu mwenye kipara asiyekuwa raia wa tanzania
   
Loading...