Baada ya James Ole Millya kujitoa UVCCM tutarajie kuona na kusikia nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya James Ole Millya kujitoa UVCCM tutarajie kuona na kusikia nini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchokozi, Apr 17, 2012.

 1. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Arusha, James Ole Millya, amejivua nyadhifa zake zote ndani ya chama hicho na kujiunga Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).Je nini mwerekeo wa UVCCM ?
   
 2. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0

  NYADHIFA GANI ALIZOJIVUA ZAIDI YA UVCC mAGAMBA
   
 3. M

  Mchokozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ujumbe Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Mjumbe Kamati ya Siasa Mkoa na Mjumbe Halmashauri Kuu CCM Mkoa wa Arusha.
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hakika u mchokozi
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Siasa za TZ hazieleweki na wanaoziendesha wengi sasa hivi wamefanya ni sehemu ya "kutokea".
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Aliyeanzisha thread hajajipanga na haiekeweki katujuza nini hapo
   
 7. t

  thandiswa Member

  #7
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunamkaribisha CDM,karibu mwaya bora ulivyojivua gamba umeota mapemaaaaaaaaa kabla hakujakucha!
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Apr 17, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ukivuta ndumu na kunywa viroba ndo unaweza ukatabiri kitakachotokea
   
Loading...