Msanii sumalii afiwa na mama yake mzazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msanii sumalii afiwa na mama yake mzazi.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by OMUSILANGA, Apr 17, 2012.

 1. O

  OMUSILANGA JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 384
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndiyo wakuu! Kwa habari nilizo pata now ni kuwa Msnii wa bongo flava, Sumalii a.k.a Mzee wa hakunaga amefiwa na mama mzazi hospital ya Taifa mhimbili baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi. Source- Radio cloudz news.
   
 2. t

  thandiswa Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Masikini Lee,nampa pole za dhati maana ni kati ya wasanii ninaowakubali. Mungu ampe moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Roho ya marehemu ilale mahali pema peponi amen.
   
 3. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 398
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wasanii tushirikiane kwa hili
   
 4. salito

  salito JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,365
  Likes Received: 352
  Trophy Points: 180
  wewe ni msanii wa nini??jitaje angalau tukujue kioo chetu cha jamii
   
Loading...