Mohamed Enterprises achoma nakala zote za JAMHURI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mohamed Enterprises achoma nakala zote za JAMHURI

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mwitongo, Apr 17, 2012.

 1. Mwitongo

  Mwitongo JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 30, 2009
  Messages: 311
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wadau, habari tulizozipata zinasema kuwa Gulam Dewji, yule mmiliki wa Mohamed Enterprises (MetL) usiku wa leo katuma vijana wake nchi nzima na wamefanikiwa kununua nakala zote za Jamhuri na kuzichoma moto. Amefanya hivyo baada ya kuandikwa habari inayohusu ufisadi aliofanya wa kununua kiwanja cha Nyerere Road!!! Taarifa hiyo imetolewa na CAG!!! Wasomaji wanahaha kulitafuta!
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  kweli aisee ndugu yangu aliyepo bongo kaniambia , ishu hiyo inamuhusu mkulo pale wizara ya fedha
   
 3. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Atachoma kila siku?
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  kama CGA keshaweka kwenye ripoti yake hapo kuna siri gani?, nadhani anazidi kuipalilia issue ili kila mtu aifatilie kwa uzuri
   
 5. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  uvivu wa kufikiri na ujanja wa kifisadi, alishindwa vipi kuyanunua hayo magazeti kabla hayajatoka huko kiwandani? Ilishasemwa Mkulo si msafi sasa ukweli unaanza kudhihirika
   
 6. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tatizo ni je atachukuliwa sheria?
   
Loading...